Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Ipo pia Mwakitolyo Shy vijijini
 
Nyie tulieni tu baada ya miaka kumi haya mashamba mtakuwa mmewauzia wasukuma. Chezea mangosha wewe.
Wasukuma wenzako sasahivi wamejaa huku Mtwara kama makuli kwenye korosho..

Kula yao inategemea Mmakonde aokote korosho.
 
Shinyanga namba 4?😬
Shinyanga kuna dhahabu ya kumwaga, nazani ndiyo inaongoza kwa dhahabu kwa Kanda ya ziwa, hasa wilaya yake ya kahama. Pia Ina madini mengi ya Almasi pale Mwadui, Mkoa wenye Almasi nyingi pekee ni shy hamna mkoa mwingine. Inatakiwa iongezee kabisa kwa pato. Pia wanalima pamba kwa wingi kama zao la kibiashara
 
Dodoma vipi?

Mwaka Kama iliongoza kwa makusa yo ya Kodi kuliko mikoa yote Tanzania.
Kuna makusanyo ya kodi/ushuru kwa maana ya halmshauri na kuna pato la mkoa mzima, fedha jumuishi za wananchi wote na siyo makusanyo.
 
Pia ni wateja wazuri wa CCM
 
Ceteris perubus hongera kwa mkoa mdogo kama Kilimanjaro kukusanya trilion 6.6,
 
washamba wengi pia wanatoka kwenye hii kanda usisahau hata siku moja
 
Njombe ni ya pili au tatu kwa GDP per capita. GDP per capita ndio kipimo bora zaid kwa sababu hugawanya utajiri kwa mtu mmoja mmoja.
Ni kitu gani kinaifanya Njombe iwe na takwimu hizo? Au ni FIKRA zako baada ya kuvuta Bangi ya Kibena bila kula chakula?
 
Arusha na Kilimanjaro pamoja na kuwa sehemu ya watalii, madini lakini pato lao wanaburuzwa hivi hata na mwanza kama madini ya mwanza hata melelani ipo
Utalii ?
Umesahau janga la korona
 
Offisi nyingi za Nchi hii wana makao makuu yao Dar hivyo wanalipia Kodi Dar.
 
Njombe ni ya pili au tatu kwa GDP per capita. GDP per capita ndio kipimo bora zaid kwa sababu hugawanya utajiri kwa mtu mmoja mmoja.
GDP per capita bado hakiwezi kuwa kipimo bora cha maisha bora na utajiri mfukoni wa watu wa mkoa husika..

Mfano,kama mkoa una migodi mikubwa yenye kutoa madini ya gharama na kuchangia GDP ya mkoa kwa zaidi ya asilimia 80,je GDP per capita itakuwa kipimo kizuri cha kujua utajiri au maisha bora ya watu wa huo mkoa?...jibu ni No.


GDP per capita ni GDP/population..bila kuangalia hiyo population inahusika vipi na hiyo GDP..
 
Inategemea sasa na nature ya shughuli za kiuchumi katika mikoa husika. Kwa mfano mikoa ya Geita na Shinyanga inawezekana kabisa halo ya wananchi ni maskini sana lakini kutokana na uwepo wa migodi mikubwa ya dhahabu,GDP lazima iwe kubwa lakini haitaakisi halo ya wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…