nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Ipo pia Mwakitolyo Shy vijijini
Ndiyo Shinyanga ina utajiri wa dhahabu na Almasi.
Kama ulikuwa hujui Almasi inapatikana Mwadui Shinyanga, dhahabu IPO
Ndiyo Shinyanga ina rasiliamali nyingi snaa lakini bado haijanufaika nazo, kama hujui Shinyanga ina migodi Mingi snaa, mfano Alimasi inapatikana Mwadui Shinyanga pekeee, Dhahabu ipo Bulyankulu - kakola Shinyanga, dhahabu ipo pia Buzwagi Kahama Shinyanga, Dhahabu IPO pia mwa'bomba kahama Shinyanga nk