Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Dodoma vipi?

Mwaka Kama iliongoza kwa makusa yo ya Kodi kuliko mikoa yote Tanzania.
inawezekana unaizungumzia Halmashauri ya Jiji la Dodoma wakati NBS wametoa data za Mkoa wa Dodoma.

Kuna tofauti kubwa Kati ya "Mkoa wa Dodoma" "Halmashauri ya Jiji la Dodoma".
 
Eti Njombe ilingane na Kahama ! Fyuuu hicho kijiji ulinganishe Manspaa ya Kahama. Hiyo Njombe size yake Karoro tu
Una matatizo inakusaidia,kama unabisha subiria taarifa za Hali ya umaskini utaona mlivyo na maisha ya nguruwe huko
 
Kwenye suala na maendeleo Mwanza inakimbia kwa kasi sana, nilikua na miezi kadhaa sijafika Mwanza leo nina wiki niko Mwanza kuna mabadiliko ya kimaendeleo makubwa sana yanayo onekana kwa macho si yakufikirika kuanzia barabara, hudumaza afya na makazi. Kati ya mikoa niliyowahi kufika Mwanza ndio mkoa wananchi wake wana makazi bora sana japo yapo maeneo yenye makazi duni kama Igogo na mabatini tena nahisi hizo tu ndio sehemu zenye makazi duni.

Kwenye afya kuna zaidi ya hospital 5 za kisasa ukianzia bugando ,sekou toure, kamanga hospt aghakan, Tanzanite hospt dispensary karibu kila mtaaa clinic za madactari bigwa zipo za kutosha.

Mwanza mjini watu wako busy na kazi wizi wa kishenzi shenzi wa kuchomoleana upo kwa kiasi kidogo sana, watu wako busy na maisha .
Anyway Mwanza imekua kiuchumi.
 
Ndio nataka Takwimu za Simiyu,zikitoka tuu hapo hutaiona Shinyanga top ten na figure ya Mwanza itashuka kwa sababu ya hiyo Busega..

Weka.Takwimu mbona Sisi tumeweka za Songwe?
Inavyoonekana hata jiografia ya nchi yako hujui kabisa nimekwambia Simiyu ilimegwa kutoka Shinyanga na Mwanza ikachangia jimbo la uchaguzi Busega na kufanywa wilaya na kupelekwa Simiyu. Na wakati huo huo Mwanza ilitoa Wikaya ya Geita na Nyag'hwale kuunda mkoa wa Geita. Wewe bado bado unang'ang'ana eti Simiyu imetokana na Mwanza. Pole sana.
 
Utasubiri sana. Njombe uswekeni tu nani aishi kwenye umande huko kama nyani
This is Njombe 👇

2947491_Screenshot_20210930-081909.png


2953541_Screenshot_20211005-165350.png
 
Tunataka mapato ya per Capita income,GDP haitakusaidia Sana mkuu ni kujifariji.

GDP yenyewe ya huko Kanda ya Ziwa ni madini ya dhahabu amvayo huishia Kwenye makampuni, serikali na kiduchu ndio huenda kwa watu wachache..

Huko Njombe ambako unadai WA Mwisho ukileta GDP Per Capita income inashindana na Dar tuu.

Mwisho Takwimu za Shinyanga na Mwanza zinahusisha Mkoa was Simiyu kiasi kwamba Kama Mbeya isingegawanywa kuunda Songwe basi ingekuwa no.2 nyuma ya Dar na huko hakuna Migodi huko ndiko Kuna watu waliostawi Sasa.

Tunataka Takwimu independent za Simiyu,tuone aibu ya baadhi ya mikoa hapa.
Mkoa wa simiyu umejulishwa wapi? Kwahiyo mapato ya simiyu yameongezwa shinyanga na pia hayo hayo mapato ya simiyu yakaongezwa Mwanza!? Kwa taharifa yako Mwanza haijawahi kutoka na haitakuja kutoka hapo kwenye nafasi ya pili. Na kama uwekezaji Mwanza ungekuwa mkubwa hiyo nafasi ya kwanza ingekuwa inatuhusu miaka yote. Njoo Mwanza uone watu walivyojiimarisha.
 
Great minds nchi hii ziko ama zinatoka lake zone.

Maendeleo ya nchi hii yameletwa ama yataletwa na lake zoners tu.

Hawa wakalia maji pwanis hawana lolote.
Great minds mmeshindwa kujenga wote mmekuja kung'ang'ania Pwani.
Tuko vzr ndo mana hamuwezi kuondoka.
 
Inavyoonekana hata jiografia ya nchi yako hujui kabisa nimekwambia Simiyu ilimegwa kutoka Shinyanga na Mwanza ikachangia jimbo la uchaguzi Busega na kufanywa wilaya na kupelekwa Simiyu. Na wakati huo huo Mwanza ilitoa Wikaya ya Geita na Nyag'hwale kuunda mkoa wa Geita. Wewe bado bado unang'ang'ana eti Simiyu imetokana na Mwanza. Pole sana.
Nataka Takwimu sitaki kilio na kuweweseka,leta Takwimu za Simiyu..Hiyo Busega ni muhimu sana..

Hata Mbeya ilitoa wilaya zote za Mkoa wa Songwe.
 
Huna lolote wivu tu unakusumbua..ingeongoza njombe ungeomba hizo GDP..kaa utulie kanda ya ziwa inaendelea kuupiga mwingi.

#MaendeleoHayanaChama
Achana na huyo fala me nilishamzoea huwa ana chuki kubwa sana dhidi ya kanda ya ziwa nazan kuna lingosha lilishamgongea demu wake.
 
Mkoa wa simiyu umejulishwa wapi? Kwahiyo mapato ya simiyu yameongezwa shinyanga na pia hayo hayo mapato ya simiyu yakaongezwa Mwanza!? Kwa taharifa yako Mwanza haijawahi kutoka na haitakuja kutoka hapo kwenye nafasi ya pili. Na kama uwekezaji Mwanza ungekuwa mkubwa hiyo nafasi ya kwanza ingekuwa inatuhusu miaka yote. Njoo Mwanza uone watu walivyojiimarisha.
Kumbe unadhani yameongezwa wapi? Ni hivi computation imetumia geografia ya zamani kabla ya mgawango wa hiyo mikoa yenu..

Mbona mikoa mingine mipya kuna Takwimu why Simiyu hakuna Takwimu? Wewe unadhani ziko wapi? 😝😝
 
Bila dhahabu huko ni useless and horrible life,next year tena watafika mbali zaidi maana mgodi mkubwa mpya unafunguliwa Sengerema na maviwanda ya kusafisha madini.
We chizi Mwanza kuna mgodi wa dhahabu ebu utaje?
 
Hata wawe wa kutoka Ulaya , mwisho wa siku wanafaidisha Mbeya.

Narudia kukwambia huko Usukumani madini hayajawahi wasaidia zaidi ya kugaidisha serikali na makampuni ya wazungu.

Mwisho toa takwimu za Simiyu uone aibu ya Mwanza Hapo.Bila kumega Songwe,GDP ya Mbeya ilikuwa unasoma 11,Juu ya Mwanza na hakuna Migodi hapo..

Hushangai makusanyo ya Jiji tuliwapiga? Utaishia kujilisha upepo wa sijui kijiji sijui nini sisi tunasonga Mbele.
Tuletee hiyo taharifa kuwa Mwanza ilishawahi kuzidiwa na mkoa wowote toka uhuru wa Tanganyika zaidi ya dar weka hapa hiyo report, pia mwaka jana tu ndio simiyu waliiweka pamoja na mkoa wa shinyanga otherwise acha upumbavu na wivu wa kijinga tupige kazi kama wananchi wa kanda ya ziwa.
 
Wapi nimetaja mgodi kuwepo hapo Mwanza? Mikoa inayozunguka Mwanza yote ina migodi na yote services nyingi zinatokea Mwanza jijini hapo.Kwa hiyo Mwanza inafaidika zaidi.
Na Dar mbona inafaidika kutoka kwa wananchi wa kanda ya ziwa coz service nyingi zinatokea dar.
 
Back
Top Bottom