Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hii mikoa ya kanda ya ziwa bado ni masikini sana sana sababu ya population kubwa ya watu waliyonayo. Ukiangalia Mwanza ina watu mara 2 ya Kilimanjaro lakini pato lake siyo mara mbili ya lile la Kilimanjaro. Hii ina maana kiuchumi bado watu wa Mwanza ni masikini kulinganisha na wenzao wa Kilimanjaro.Pamoja na mchango wote huo wa kanda ya ziwa still low mind Mapweza, Kolekole, na Vibua yanawatengua (wachomoa) na kuwadhihaki wasukuma/&watu wa kanda ya ziwa kwenye nafasi za kulisaidia taifa
Kuna kazi kubwa sana ya kufanya ili watu wa huko mpunguze kufyatua watoto ili walau maisha yenu yaboreke. Vinginevyo mtakuwa na pato kubwa kama la Nigeria ila watu wenu watabaki kuwa mafukara daima