Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Kwa kuongezea Kuna yule mwanamke wa Mara alimnyang'anya jambazi smg kabisa ikiwa na risasi zimejaa kwa magazine.
Yaani ulivyoipamba lake zone.
Wangekuwa ndugu zetu ukanda Fulani wangekomaa wajitenge Mana wananyonywa na wakanda wengine.
Na ndo Mana wanataka kuleta Sera ya ukanda.
Jana nacheki itv Siro Mara,mabeyo simiyu wote walikuwa wanaongea sijui Nini.
Lake zone Askari wengi ndio wametokea huku ,tukidai nchi yetu nadhani wengine mtakufa njaa Mana chakula kingi kinatokea huku
Huhitaji kulima mkuu uli upate chakula.. Unahitaji brains and cash…..
 
Katavi ni nini na Rukwa ni nini? Hii si mikoa tofauti kamanda?
Afu kwenye ramani hapo figures za Rukwa wameweka Katavi na Za katavi wameweka Rukwa.

Katavi iko Kanda ya Magharibi na Rukwa Nyanda za Juu.Soma hapa 👇

Screenshot_20210912-124500.png
 
Arusha na Kilimanjaro pamoja na kuwa sehemu ya watalii, madini lakini pato lao wanaburuzwa hivi hata na mwanza kama madini ya mwanza hata melelani ipo
"Melelani" Iko Arusha au Manyara?
 
Sasa mbona mnaomba upendeleo mwanza hamuifiikii leo.
Kanda ya ziwa hamna mtu anakaa kizembe hao wazee vijijini wanang'ombe 1000 na kuendelea
Wewe acha kujisemesha upupu,umewahi sikia wapi na lini Mbeya ikaomba upendeleo?

Sisi tukipendelewa kama huko kwenu nyie mtaogelea kwenye umaskini,huku ni Nchi ya ahadi by nature ina resources zote,kuanzia madini hadi misitu.

Siku tukianza kuchimba migodi yetu hamuwezi kutugusa,hapa tunatumia kilimo tuu na biashara.

Mwisho huko hakuna malisho,ng'ombe wako Kwetu Kusini kwa hiyo hakuna wanachofaidisha huko.
 
Afu kwenye ramani hapo figures za Rukwa wameweka Katavi na Za katavi wameweka Rukwa.

Katavi iko Kanda ya Magharibi na Rukwa Nyanda za Juu.Soma hapa 👇

View attachment 1969609
Hilo jedwali la mwisho ndilo linaloonyeaha hali halisi ya maisha ya watu. GDP per capita ndiyo kipimo kizuri.
Hapo utaona kuwa kuna mikoa kibao haijafika hata uchumi wa kati. Mikoa kama Kagera, Shinyanga, Dodoma etc haijafika uchumi wa kati.
 
Ila bado ndio inachangia pato kubwa katika uendeshaji wa nchi..barabara zinazojengwa huko ni jasho la watu wa kanda ya ziwa kwa sehemu kubwa..acha mapuuza.

#MaendeleoHayanaChama
Kila sehemu watu wanatoa jasho na wanachangia Pato la Taifa,watu wa Dar wasemaje sasa ?
 
Wewe acha kujisemesha upupu,umewahi sikia wapi na lini Mbeya ikaomba upendeleo?

Sisi tukipendelewa kama huko kwenu nyie mtaogelea kwenye umaskini,huku ni Nchi ya ahadi by nature ina resources zote,kuanzia madini hadi misitu.

Siku tukianza kuchimba migodi yetu hamuwezi kutugusa,hapa tunatumia kilimo tuu na biashara.

Mwisho huko hakuna malisho,ng'ombe wako Kwetu Kusini kwa hiyo hakuna wanachofaidisha huko.
mnanza lini kuchimba migodi yenu?
 
Wewe nae ni mpumbavu kwenzake! Eti mihemko! Hivi kweli mji unaoongoza kwa mbali sana mapato kwa nchi hii uje kupitwa na mkoa ambayo hata mapato yake sio ya 3 kitaifa?

Angalia hili hapa! Walilinganisha asilimia za makusanyo dhidi ya malengo. Na kwa kuwa namuelezea mbwiga nitatoa mfano hapa. Lengo la Dar ni kukusanya 100m na Dodoma 70m. Dodoma mwisho wa mwaka kakusanya 68m sawa na 97% Dar kakusanya 90m sawa na 90%. Ukilinganisha ufanisi utaona Dom kaizi Dar kwa 7% lakini alizokusanya Dar ni 22m zaidi!!

Ni malengo ya makusanyo ndio Dodoma alikuwa wa kwanza. Sio kiasi cha makusanyo! Ukianza kuelewa tofauti hiyo utamsaidia mwenzako.
Hata huo mwaka wanaousema ni ule mwaka Jiji la dodoma liliuzauza viawanja kwa wingi kwa sababu ya watumishi wengi walikua ndo wamehamia dodoma. Sasa hivi huwezi kukuta tena takwimu za dodoma kuongoza.
 
mnanza lini kuchimba migodi yenu?
Serikali iko hatua za Mwisho kumalizana na investor wa rare earth metals according to Gerson Msigwa, tena mgodi uko jirani na mjini pale Songwe.

Hopefully mwaka ujao tutamalizana na investors wa Chuma Njombe na rare earth metals Mbeya kwa hiyo GDP Zita jump ku add kwenye kilimo na biashara.
 
Back
Top Bottom