PreGE2025 Patrick Asenga afukuzwa kwenye kikao Segerea kwa kupinga ajenda ya 'No Reforms No Election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu wanaopinga ajenda ya CHADEMA inayoitwa NO REFORMS NO ELECTION.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Kata mbalimbali za Jimbo hilo hawakuwa tayari kuendelea na Kikao wanamtuhumu kuwa amekosa uadilifu na hekima za uongozi hastahili kuwa sehemu ya Wanachama wa jimbo hilo.

Segerea wamekuwa na msimamo mkali juu ya wajumbe wote wanaopinga ajenda ya NO REFORMS NO ELECTION bila kujali vyeo vyao ikumbukwe Patrick Asenga ni Mweka Hazina wa Kanda ya Pwani lakini hiyo nafasi haikumsaidia mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu baada ya kuondoka kikao kikaendelea kwa utulivu na Wanachama wakapitisha ajenda za kikao.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa leo tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu wanaopinga ajenda ya CHADEMA inayoitwa NO REFORMS NO ELECTION.

Fukuza wahuni hao
 
Chama ni watu sasa nyie mnafukuza watu mtabaki na nani...
Jifunzeni kufanya kazi pamoja na wanafiki maana wasafi tu hamtowapata...
 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa leo tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu wanaopinga ajenda ya CHADEMA inayoitwa NO REFORMS NO ELECTION.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Kata mbalimbali za Jimbo hilo hawakuwa tayari kuendelea na Kikao wanamtuhumu kuwa amekosa uadilifu na hekima za uongozi hastahili kuwa sehemu ya Wanachama wa jimbo hilo.

Segerea wamekuwa na msimamo mkali juu ya wajumbe wote wanaopinga ajenda ya NO REFORMS NO ELECTION bila kujali vyeo vyao ikumbukwe Patrick Asenga ni Mweka Hazina wa Kanda ya Pwani lakini hiyo nafasi haikumsaidia mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu baada ya kuondoka kikao kikaendelea kwa utulivu na Wanachama wakapitisha ajenda za kikao.
Wafuasi wa Braza K ni watu wa jazba, mapovu na hawawezi kusikiliza hoja kinzani. Wao ni sawa na radio ya bendi moja.
 
Back
Top Bottom