PreGE2025 Patrick Asenga afukuzwa kwenye kikao Segerea kwa kupinga ajenda ya 'No Reforms No Election'

PreGE2025 Patrick Asenga afukuzwa kwenye kikao Segerea kwa kupinga ajenda ya 'No Reforms No Election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chama cha PRI kilitawala Mexico kwa miaka 71 mfululizo ndio kikashindwa uchaguzi. Wapinzani wake hawakukata tamaa. Nyinyi mnataka kususa baada ya kushindwa miaka mitano tuu. Rais wa sasa wa Zambia amefungwa, amedhulumiwa uchaguzi lakini aliendelea kupambanu. Leo ndie Rais wa Zanzibar. Kulikuwa na UNIP, KANU lakini leo ziko wapi. India Congress Party kiko wapi? Chama cha Banda kiko wapi?

Amandla...
Nani "anasusa"?
Hata hiyo mifano yako unayoitoa hapa haina usahihi wowote ndani yake.
 
Mtafukuzan sana,hamna demokrasia.
Angalau huko ametolewa ndani ya kikao ila ccm wanawafuatilia kwa watu wasiojulikana ili wawapoteze mazima hadi leo yule mzee wa watu anaishi kwa mashaka kisa kuhoji ccm kutokutenda haki ya kumchagua Samia kwasababu ya kuvunja katiba yao.
 
Back
Top Bottom