PreGE2025 Patrick Asenga afukuzwa kwenye kikao Segerea kwa kupinga ajenda ya 'No Reforms No Election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..angefukuzwa na mtu mmoja sawa, lakini kafukuzwa na kikao utasemaje hakuna demokrasia?
Demokrasia hasa inalinda haki ya wachache dhidi ya kuonewa na wengi. Tutaona mwisho wa huku kutafuta wachawi. Lakini hautakuwa mzuri.

Amandla...
 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu wanaopinga ajenda ya CHADEMA inayoitwa NO REFORMS NO ELECTION.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Kata mbalimbali za Jimbo hilo hawakuwa tayari kuendelea na Kikao wanamtuhumu kuwa amekosa uadilifu na hekima za uongozi hastahili kuwa sehemu ya Wanachama wa jimbo hilo.

Segerea wamekuwa na msimamo mkali juu ya wajumbe wote wanaopinga ajenda ya NO REFORMS NO ELECTION bila kujali vyeo vyao ikumbukwe Patrick Asenga ni Mweka Hazina wa Kanda ya Pwani lakini hiyo nafasi haikumsaidia mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu baada ya kuondoka kikao kikaendelea kwa utulivu na Wanachama wakapitisha ajenda za kikao.

akidi ya wajumbe wa kumtimua haikutimia?

ni muhimu Mchome akaingilia kati jambo hili 🐒
 
Demokrasia hasa inalinda haki ya wachache dhidi ya kuonewa na wengi. Tutaona mwisho wa huku kutafuta wachawi. Lakini hautakuwa mzuri.

Amandla...

.." No reforms No election."

.." No reforms then election. "
 
Asenga is a dead meat. Waganga njaa na madalali wa mbowe sasa hivi hawana pa kushika na ccm mliwapapeli kuwapa vyeo
vibaka na matapeli wa kisiasa wamepoteza uelekeo gentleman, right?🐒
 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu wanaopinga ajenda ya CHADEMA inayoitwa NO REFORMS NO ELECTION.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Kata mbalimbali za Jimbo hilo hawakuwa tayari kuendelea na Kikao wanamtuhumu kuwa amekosa uadilifu na hekima za uongozi hastahili kuwa sehemu ya Wanachama wa jimbo hilo.

Segerea wamekuwa na msimamo mkali juu ya wajumbe wote wanaopinga ajenda ya NO REFORMS NO ELECTION bila kujali vyeo vyao ikumbukwe Patrick Asenga ni Mweka Hazina wa Kanda ya Pwani lakini hiyo nafasi haikumsaidia mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu baada ya kuondoka kikao kikaendelea kwa utulivu na Wanachama wakapitisha ajenda za kikao.

View attachment 3304476
hayo ni yale machaga yanayojidai kuijua sana hela.
 
Whatever. Ila kuwaonea wakina Asenga hakujengi chama. Mnawasema lakini mnajifungulia kamlango ka kugombea.

Amandla...

..wakina Asenga wanasimamia nini?

..wana tofauti gani kimsimamo na chama kama ADC?
 
Usiwe biased. Soma waraka wao utaona tofauti. Kwa kifupi wanachosimamia ni:
1. Reforms ni lazima ili uchaguzi uwe wa haki.

2. Ingawa reforms ni muhimu, zisiwe attached na uchaguzi wa mwaka huu.

3. Kwa sababu hiyo, CDM waseme kuwa watagombea uchaguzi katika ngazi zote hata kama hapatakuwa na reforms. Hii ni kutambua ukweli kuwa hamna reforms za maana zitafanywa kabla ya uchaguzi.

4.CDM wawekeze zaidi katika kuhakikisha kuwa wanapata wabunge, madiwani wa kutosha katika uchaguzi ujao. Wakiwaamsha vizuri wafuasi wao wataweza kulazimisha watendewe haki katika vituo vya kutosha. Wana nafasi zaidi ya kufanikiwa kwenye hili kwa sababu ACT-WAZALENDO watashirikiana nao katika kulinda kura.

5. Wakiona dalili za kufanyiwa mchezo mbaya, bado watakuwa na nafasi ya kukataa kushiriki na kuhakikisha kuwa uchaguzi hauendelei kituo kwa kituo.

6. Wakipata kura na wabunge wa kutosha watapata rasilimali watu na fedha za kupambana ili Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi irekebishwe kabla ya 2029.

Kisingizio cha muda hautoshi kitapotea.
Msimamo una clarity kuliko huo wa wakina Lissu ambao huku wanasisitiza wenye nia ( incl. Lissu) wajitokeze kule wanawatia kibano wanaoonyesha nia hiyo. Wanaleta sintofahamu isio na sababu kwa watu kama Aidan ambae amesema wazi kuwa atagombea na ana nafasi kubwa ya kushinda.

Pamoja na kupakaziwa strategy yao ina mantik kuliko ya wakina Lissu. Walichofanya wakina Lissu ni kuwapa CCM ushindi wa bila kutoka jasho.

..kwa hiyo unachosema ni " No Reforms Then Election "?
 
Back
Top Bottom