Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Fukuza wahuni haoWajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa leo tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu wanaopinga ajenda ya CHADEMA inayoitwa NO REFORMS NO ELECTION.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Kata mbalimbali za Jimbo hilo hawakuwa tayari kuendelea na Kikao wanamtuhumu kuwa amekosa uadilifu na hekima za uongozi hastahili kuwa sehemu ya Wanachama wa jimbo hilo.
Segerea wamekuwa na msimamo mkali juu ya wajumbe wote wanaopinga ajenda ya NO REFORMS NO ELECTION bila kujali vyeo vyao ikumbukwe Patrick Asenga ni Mweka Hazina wa Kanda ya Pwani lakini hiyo nafasi haikumsaidia mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu baada ya kuondoka kikao kikaendelea kwa utulivu na Wanachama wakapitisha ajenda za kikao.
Hatucheki na nyani😅😅💪safi sana CHADEMA tusonge mbele👉
Usisome.Vitu vidogo kama hivi ni vya kuandika humu kweli? Mods futeni hivi vitaarifa vijidogo dogo, havina content yoyote.
Wafuasi wa Braza K ni watu wa jazba, mapovu na hawawezi kusikiliza hoja kinzani. Wao ni sawa na radio ya bendi moja.Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa leo tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu wanaopinga ajenda ya CHADEMA inayoitwa NO REFORMS NO ELECTION.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Kata mbalimbali za Jimbo hilo hawakuwa tayari kuendelea na Kikao wanamtuhumu kuwa amekosa uadilifu na hekima za uongozi hastahili kuwa sehemu ya Wanachama wa jimbo hilo.
Segerea wamekuwa na msimamo mkali juu ya wajumbe wote wanaopinga ajenda ya NO REFORMS NO ELECTION bila kujali vyeo vyao ikumbukwe Patrick Asenga ni Mweka Hazina wa Kanda ya Pwani lakini hiyo nafasi haikumsaidia mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu baada ya kuondoka kikao kikaendelea kwa utulivu na Wanachama wakapitisha ajenda za kikao.
Itakuwa amenunuliwa na ccmUsaliti ni laana
Mtafukuzan sana,hamna demokrasia.Usaliti ni laana
Mtafukuzana sana.Hamna demokrasia.Itakuwa amenunuliwa na ccm
Chama ni watu sasa nyie mnafukuza watu mtabaki na nani...
Jifunzeni kufanya kazi pamoja na wanafiki maana wasafi tu hamtowapata...
Mtafukuzan sana,hamna demokrasia.
Wachukueni nyinyi hao Njaa 55 si mme saini maadili.Chama ni watu sasa nyie mnafukuza watu mtabaki na nani...
Jifunzeni kufanya kazi pamoja na wanafiki maana wasafi tu hamtowapata...
Kwenu hiyo demokrasia hata ya wanachama kutomtaka kiongozi wao mnayo?Mtafukuzana sana.Hamna demokrasia.
uvccm nyie umetumwaVitu vidogo kama hivi ni vya kuandika humu kweli? Mods futeni hivi vitaarifa vijidogo dogo, havina content yoyote.