Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu...
Alikuwa anafundisha Vijana wapya maarifa aliyokuwa nayo.

Ilikuwa vigumu kuwafundisha akiwa nje ya ofisi ya umma.
 
Nimeona msalaba unasema amezaliwa 1953, wewe unasema 1950, tukuamini wewe tuamini ndugu walioandika msalaba?...
Kwahiyo sheria ya kustaafu kwa hiari au kwa mujibu wa sheria ifutwe?

Wengi wanao staafu kwa umri elekezi wanakuwa wapo vizuri kuendelea na kazi.Lakini si utaratibu,vijana wetu wapate nafasi za ajira nao wachangie kuiletea maendeleo nchi yao
 
Wamemuacha babu wa watu mpaka kashfa ya ripoti ya Kichere imemuua, alipohojiwa presha ikapanda. Ila Kichere nae kaitoa kama ilivyo Tanroad wamelipa mikataba mara mbilimbili January to March 2021.
Inawezekana kabisa kifo chake kina uhusiano na ripoti ya kichere,angekuwa kastaaafu angekuwa anakula tu penshen
 
Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.

Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.

RIP Mfugale 1950-2021
Hili swali nilikuwa najiuliza jana.
 
Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.

Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.

RIP Mfugale 1950-2021
Acha hizo ni 1953-2021
 
Alikia hajastaafu na anaongezew mkataba ,sasa anaongezewaje mkataba kama aliki hajastaafu?
 
Back
Top Bottom