Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Alikuwa anafundisha Vijana wapya maarifa aliyokuwa nayo.Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu...
Kwahiyo sheria ya kustaafu kwa hiari au kwa mujibu wa sheria ifutwe?Nimeona msalaba unasema amezaliwa 1953, wewe unasema 1950, tukuamini wewe tuamini ndugu walioandika msalaba?...
Inawezekana kabisa kifo chake kina uhusiano na ripoti ya kichere,angekuwa kastaaafu angekuwa anakula tu penshenWamemuacha babu wa watu mpaka kashfa ya ripoti ya Kichere imemuua, alipohojiwa presha ikapanda. Ila Kichere nae kaitoa kama ilivyo Tanroad wamelipa mikataba mara mbilimbili January to March 2021.
Tumuache apumzike?Mwacheni apumzike. Haya ulikuwa na uwezo wa kuyasema akiwa hai.
Huna mengine ya kufanya zaidi ya kumjadili mtu?!Tumuache apumzike ?
Kwani tukiongea tunambebesha makaraii ya lami za mabarabara huko kuzimu?
Waafrika bana na maimani yetu ya kijima. Mtu kafa tunaambiwa tumwache apumzike.... tusimjadili
Chezea msharahara wewe,hakuna mtu anayependa kustaafu ujueInawezekana kabisa kifo chake kina uhusiano na ripoti ya kichere,angekuwa kastaaafu angekuwa anakula tu penshen
Dr. Fauci ndio nani na wewe?Dr. Fauci wa Marekani ana miaka 81 na bado anapiga kazi kama
Hili swali nilikuwa najiuliza jana.Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021
Acha hizo ni 1953-2021Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021
Alikia hajastaafu na anaongezew mkataba ,sasa anaongezewaje mkataba kama aliki hajastaafu?Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021
Acheni chuki zenye ramli zenu hivi mnajua kikwete ni mkubwa kwa Lowassa sasa angalia muonekano waoWalicheza nae wanakwambia kazaliwa 1950