Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

Nimeona msalaba unasema amezaliwa 1953, wewe unasema 1950, tukuamini wewe tuamini ndugu walioandika msalaba?

Anyway, umri sio shida sana kama mtu bado ana nguvu na anajiweza...
Tanzania Umri elelezi yaani hata hiyo hamsini huenda siyo kweli, Wengi wanatumia Umri ulioandikwa kwenye cheti Cha ubatizo
 
Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.

Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.

RIP Mfugale 1950-2021
Kwangu alikuwa hawezi Kazi? Umri ni namba tuu. Uwezo ndio Muhimu. RIP Engineer Mfugale
 
Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.

Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.

RIP Mfugale 1950-2021
Alikua msukule wa mwendazake
 
Kuna kizazi cha wazee wanaamini bila wao hakuna wengine, kwa kuwa wameingia huko ikiwa ndo kwanza Taifa changa…. sasa wapukutike tu haraka haraka hadi akili ziwakae sawa.
 
Dr. Fauci ndio nani na wewe?

Hebu tulia
Ahaa mkuu huna exposure kabisa

Dr Fauci amefanya tafiti nyingi za dawa za kufubaza ukimwi

Pia sasa yupo na Joe Biden kwenye corona
 
Mbona Kaseja anadaka mpaka kesho
Umri ni namba tu
Onyango wa Msimbazi Wananchi wali Uediti na Anawashughulikia kwelikweli na leo hawaponi
We mikia acha ujinga basi,ofisi ya umma ina ukomo wa umri kutumikia unakuja na stori za onyango nusu mtu nusu jini
 
Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu...
Sijajua sheria zinasemaje kuhusu kikomo cha umri katika nafasi kama hizi, ila binafsi sidhani kuwa umri mkubwa ni tatizo.

Haya mambo ya tuwaachie vijana ndio yanayotuangusha. Tuwaachie ili wakafanye nini? Waibe?

Kama lengo la nafasi ni kuleta tija, haijalishi atakayeongoza ni kijana au mzee, muhimu tupate tija.

Haya mambo ya kusema tuwaachie vijana, tunatengeza mazingira ya kula kwa zamu, kitu ambacho si sahihi.

Mimi hoja yangu ingekuwa je alifanya kazi kwa tija na kustahili kuongezewa mikataba?

Kuna watu kama Prof. Mseru pale Muhimbili, walistaafu kitambo na wanachapa kazi kwelikweli.
 
Katiba inakataza mtu kuongezewa mkataba akifikisha miaka 60?
Usichanganye mada,katiba inasema Urais ni vipindi viwili nyie mkataka atawale milele,kwenye utumishi wa umma sheria ya kazi(sio katiba) ni miaka 60 unless kuna sababu za msingi ndio unapewa mkataba miaka miwili miwili
 
Sijajua sheria zinasemaje kuhusu kikomo cha umri katika nafasi kama hizi, ila binafsi sidhani kuwa umri mkubwa ni tatizo.

Haya mambo ya tuwaachie vijana ndio yanayotuangusha. Tuwaachie ili wakafanye nini? Waibe?..
Tujifunze kufuata katiba na sheria za kazi zinasemaje kuliko kuzivunja,kama hazifai zibadilishwe kisheria
 
Tujifunze kufuata katiba na sheria za kazi zinasemaje kuliko kuzivunja,kama hazifai zibadilishwe kisheria
Ni kweli mkuu. Ila sijajua kama kuna sheria tofauti, maana taasisi kadhaa zina wakurugenzi waliostaafu, Prof. Museru wa MNH, Prof Janabi wa JKCI, Dr. Albina Chuwa wa NBS, na wengine wengi, ila taasisi zao za kazi zinafanya vizuri.
 
Sheria inaruhusu wastaafu wabobezi kuongezewa muda wa kazi kwa mkataba kwa zile fani zenye wataalam wachache,hata vyuoni maprofesa wengi huongezewa muda japo Baregu alinyimwa mkataba udsm na yule kwa sababu za kisiasa,ila prof Mgongo Fimbo na cris peter maina wapo tu.sheria ina ubaguzi
 
Sawa Mkuu. Ingawa hao wa JKCI na MNH si wabobezi pekee waliopo miaka ya sasa. Lakini umeeleweka.
 
Ni kweli mkuu. Ila sijajua kama kuna sheria tofauti, maana taasisi kadhaa zina wakurugenzi waliostaafu, Prof. Museru wa MNH, Prof Janabi wa JKCI, Dr. Albina Chuwa wa NBS, na wengine wengi, ila taasisi zao za kazi zinafanya vizuri.
Mama Anna mghwira alitolewa Rc kule kilimanjaro akiwa na miaka 62 kwa madai amestaafu,makongoro nyerere kateuliwa kuwa RC kwa umri huo huo 62
 
Ahaa mkuu huna exposure kabisa

Dr Fauci amefanya tafiti nyingi za dawa za kufubaza ukimwi

Pia sasa yupo na Joe Biden kwenye corona
peleka jukwaa la kimataifa

Mfugale na Dr. Fauci wapi na wapi?

watu wa Diaspora mawenge tupu...

nendeni kwenye ma forum ya Kimarekani mkamjadili Dr. Fauci huko....
 
Naona mada imejijibu yenyewe hakukua na haja hata ya comment.
 
Back
Top Bottom