Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafa bila kutumia mafao yake ya kustaafu maskini.Kuna wakati nilipomuona akiwa kazini anakagua mabarabara nilimuonea huruma kwa hali yake ya kiafya, nilijiuliza kwanini hapumzishwi au kwanini yeye haombi kupumzika? Maskini! hadi amefia kazini.
Hili ni fundisho pia kwa watumishi wengine wenye umri mkubwa au wana matatizo ya kiafya ni vyema wakaomba kustaafu kwa hiyari ili wapate muda wa kupumzisha miili yao kuliko kuifia kazini.
Kumbukeni kazi na afya, Afya yako/uhai wako ni muhimu sana kuliko kazi, ukifa leo kesho tunateua mwengine anashika nafasi yako.
wazee mnaotaka kuifia kazini pumzikeni, pisheni vijana nao wapige kazi.
Wana matatizo ya akili hao watakuchosha bureTumuache apumzike?
Kwani tukiongea tunambebesha makaraii ya lami za mabarabara huko kuzimu?
Waafrika bana na maimani yetu ya kijima. Mtu kafa tunaambiwa tumwache apumzike.... tusimjadili
Utumishi wa umma una taratibu zake tofauti na private mkuu,private ni kama hakuna kustaafu,Tumia Elimu yako vizuri utafanya kazi hata ukiwa na miaka 90.
ukiona umestaafu na miaka 60 ukaa nyumban hautwi hata kufanya MENTOR tambuwa mchango wako ulikuwa mdogo .
Mwangalie Professor Lipumba
Hivi mkuu ulivoandika hivi ni kua humjui kabisa Mfugale? Huyu ndio mtu pekee wa karibu wa Hayati Mwenda labda kuliko hata Mama Jesca.Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021
ni 1953 sio 1950Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021
Khaaa we jamaa!!Imekuwa vizuri amestaafishwa na kifo
Hata kama tukijadili na kujua tofauti na tunalolijua haitasaidia na wala hatarudi, tuelekezane ulipo msiba na ikibidi mtupe ratiba ili tushiriki misosi na makunywajiUmri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021
Ajira sio hisani, kama uwezo alikuwa nao kwanini asiongezewe mkataba?Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021
Tuna shida kubwa kuelewaUmri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021
Tuna shida kubwa kuelewa
Mfugale hata angekus n 75 if he was fit.... Tungrmhitaji
Tofautisha umri wa tarishi na umri wa leader
Kuna Kazi kulingana na ufanisi wako na ubobezi inabidi wakushikiliye kwa muda, hili uendelee kuleta tija kwa taifa, nafikiri engineer Mufugale ndiyo engineer wa Kwanza kuweza kuleta tija kwa taifa kwa ujumla. Ukiangalia mtandao wa barabara, madaraja japo wapo maengineer wengi lakini hawakufikia kipaji cha Mufugale, kwenye nchi za watu wenye uelewa wa taaluma hizi hata ukifika miaka 100 Kama Unaweza deliver wanakuacha hili taifa liendelee kufaidi n talent yako.Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021