Tanzania Umri elelezi yaani hata hiyo hamsini huenda siyo kweli, Wengi wanatumia Umri ulioandikwa kwenye cheti Cha ubatizoNimeona msalaba unasema amezaliwa 1953, wewe unasema 1950, tukuamini wewe tuamini ndugu walioandika msalaba?
Anyway, umri sio shida sana kama mtu bado ana nguvu na anajiweza...
Kwangu alikuwa hawezi Kazi? Umri ni namba tuu. Uwezo ndio Muhimu. RIP Engineer MfugaleUmri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021
Yes. Yeye alikuwa CEO na sio mwanamieleka au judo.Kwangu alikuwa hawezi Kazi? Umri ni namba tuu. Uwezo ndio Muhimu. RIP Engineer Mfugale
Mbona Kaseja anadaka mpaka keshoYes. Yeye alikuwa CEO na sio mwanamieleka au judo.
Alikua msukule wa mwendazakeUmri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.
RIP Mfugale 1950-2021
Kazi imemkosea nini huyo dokta fauci hadi aipige?
Kamoooonn!
Ahaa mkuu huna exposure kabisaDr. Fauci ndio nani na wewe?
Hebu tulia
We mikia acha ujinga basi,ofisi ya umma ina ukomo wa umri kutumikia unakuja na stori za onyango nusu mtu nusu jiniMbona Kaseja anadaka mpaka kesho
Umri ni namba tu
Onyango wa Msimbazi Wananchi wali Uediti na Anawashughulikia kwelikweli na leo hawaponi
Katiba inakataza mtu kuongezewa mkataba akifikisha miaka 60?Hata magufuli tulitaka atawale milele bila kuangalia katiba inasemaje
Sijajua sheria zinasemaje kuhusu kikomo cha umri katika nafasi kama hizi, ila binafsi sidhani kuwa umri mkubwa ni tatizo.Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu...
Usichanganye mada,katiba inasema Urais ni vipindi viwili nyie mkataka atawale milele,kwenye utumishi wa umma sheria ya kazi(sio katiba) ni miaka 60 unless kuna sababu za msingi ndio unapewa mkataba miaka miwili miwiliKatiba inakataza mtu kuongezewa mkataba akifikisha miaka 60?
Tujifunze kufuata katiba na sheria za kazi zinasemaje kuliko kuzivunja,kama hazifai zibadilishwe kisheriaSijajua sheria zinasemaje kuhusu kikomo cha umri katika nafasi kama hizi, ila binafsi sidhani kuwa umri mkubwa ni tatizo.
Haya mambo ya tuwaachie vijana ndio yanayotuangusha. Tuwaachie ili wakafanye nini? Waibe?..
Ni kweli mkuu. Ila sijajua kama kuna sheria tofauti, maana taasisi kadhaa zina wakurugenzi waliostaafu, Prof. Museru wa MNH, Prof Janabi wa JKCI, Dr. Albina Chuwa wa NBS, na wengine wengi, ila taasisi zao za kazi zinafanya vizuri.Tujifunze kufuata katiba na sheria za kazi zinasemaje kuliko kuzivunja,kama hazifai zibadilishwe kisheria
Sheria inaruhusu wastaafu wabobezi kuongezewa muda wa kazi kwa mkataba kwa zile fani zenye wataalam wachache,hata vyuoni maprofesa wengi huongezewa muda japo Baregu alinyimwa mkataba udsm na yule kwa sababu za kisiasa,ila prof Mgongo Fimbo na cris peter maina wapo tu.sheria ina ubaguziNi kweli mkuu. Ila sijajua kama kuna sheria tofauti, maana taasisi kadhaa zina wakurugenzi waliostaafu, Prof. Museru wa MNH, Prof Janabi wa JKCI, Dr. Albina Chuwa wa NBS, na wengine wengi, ila taasisi zao za kazi zinafanya vizuri.
Sawa Mkuu. Ingawa hao wa JKCI na MNH si wabobezi pekee waliopo miaka ya sasa. Lakini umeeleweka.Sheria inaruhusu wastaafu wabobezi kuongezewa muda wa kazi kwa mkataba kwa zile fani zenye wataalam wachache,hata vyuoni maprofesa wengi huongezewa muda japo Baregu alinyimwa mkataba udsm na yule kwa sababu za kisiasa,ila prof Mgongo Fimbo na cris peter maina wapo tu.sheria ina ubaguzi
Mama Anna mghwira alitolewa Rc kule kilimanjaro akiwa na miaka 62 kwa madai amestaafu,makongoro nyerere kateuliwa kuwa RC kwa umri huo huo 62Ni kweli mkuu. Ila sijajua kama kuna sheria tofauti, maana taasisi kadhaa zina wakurugenzi waliostaafu, Prof. Museru wa MNH, Prof Janabi wa JKCI, Dr. Albina Chuwa wa NBS, na wengine wengi, ila taasisi zao za kazi zinafanya vizuri.
peleka jukwaa la kimataifaAhaa mkuu huna exposure kabisa
Dr Fauci amefanya tafiti nyingi za dawa za kufubaza ukimwi
Pia sasa yupo na Joe Biden kwenye corona