TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Ungesubili upate ukweli ndo uandike !!
Hii habari ina ukweli ni nimeona page ya habari leo ni nikareta uzi hapa @moderate wakaufuta.
Screenshot_20210629-145549.jpg
 
Habari zinazosambaa kwasasa ni hizo, ukweli upoje?

====

Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Doodma.

Mfugale jana aliondoka na ndege kiwa na Katibu Mkuu ujenzi kuelekea Dodoma kwa safari ya Kikazi

Amezidiwa leo saa tano asubuhi na kukimbizwa Hospitali ya Benjamin Mkapa ambapo ndipo Mauti umemfika muda mchache baada ya kufikishwa.

Tutaendekea kuwapasha kinachoendelea.

Apumzike kwa Aman
hawa ndio waliokuwa wanainjoy enzi za mwenda zake na kumshauri aendelee kukaza Praizi kwa watanzania. Wataisha. Karma
 
Back
Top Bottom