TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Kumbe tumempoteza mtu mhimu sana kwa Tanzania,yaani ana miaka zaidi ya 40 kwenye wizara ya ujenzi..Ameondoka na historia kubwa sana ya ujenzi wa miundombinu ya Taifa.ndiyo maana Magufuli alimiamini sana huyu Jembe
 
Patrick Aron Mfugale hakuwahi kuwa Waziri, Mbunge wala Katibu Mkuu lakini amefanya mambo makubwa na ameacha alama kubwa katika Taifa letu la Tanzania. hakika mwendo kaumaliza, apumzike kwa amani
Na amewaacha mahandisi wa Tanroads urithi wa kujigawia tender na makampuni yao wanayoyataka. Mwamba kweli mwendo ameumaliza.
 
Pamoja na Mambo mengine hebu turudi nyuma kidogo.
Mfugale alizaliwa December 1953
Alipashwa astaafu 2013 December.
Ni kitu gani kimemfanya anganganie madaraka ilhali Tanzania Kuna ma graduate wengi sana wanaoweza kukalia kile kiti?
Kama kulikua hakuna wa kumrithi, inamaana wataleta beberu au mchina pale.
Enyi wahanga mliopo serikalini na mashirika ya Uma , hebu mjiheshimu mustaafu umri ukifika ili mkafaidi hela zenu pamoja na kucheza na wajukuu.
Habari hii iwafikie hata wabunge na mawaziri.
Mtu unafia board room kisa huwezi ku handle stress za dot.com.
Mtu bado unasaka pesa ilhali hata Cha asubuhi unakisikia kwenye kipindi Cha tiGO. Hiyo pesa Ni ya Nini Kama huwezi kutafuna vipaja?
mrangi
Mshana Jr
mama kubwa
Bushmamy
 
Kwa uandishi huu nimeona ni kwanini MBOWE ni MWENYEKITI
 
Kichwani umejaza MAVI badala ya ubongo. BORA BABAKO ANGEPIGA NYETO TU.
 
Mwili wa aliyekuwa mtendaji mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), mhandisi Patrick Mfugale umewasili katika viwanja vya hospitali ya Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuagwa.

Viongozi mbalimbali wamewasili katikahospitali hiyo akiwemo naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya, katibu mkuu wa Wizara hiyo, Joseph Malongo, mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri na wabunge mbalimbali.

Pia wapo viongozi mbalimbali wa Tanroads, wawakilishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, viongozi wa dini pamoja ndugu, jamaa na marafiki.

Kwa mujibu wa ratiba mwili wa Mfugale utapelekwa Uwanja wa ndege wa Dodoma saa 10:00 jioni kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea jijini Dar es Salaam ambapo utaagwa tena katika ukumbi wa Karimjee kesho.

Mfugale alifariki dunia Jumanne Juni 29, 2021 saa 5 asubuhi katika hospitali ya Benjamin Mkapa.

PIA SOMA:
- TANZIA - Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Source: Mwananchi
 
Na yy km wanadamu wengine wote,atakumbukwa kwa mazuri meengi na mabaya machache.

Ajipate mahali alipojichagulia,Amen.
 
Ampe salamu Mwenda amwambie wakina naniluu wote wana vaa sindria mdomo
 
Kabla ya kuzikwa aje ajibu kesi kwa mama ,Tanroads kuna ufisadi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…