Patriot zinaendelea kulinda mji wa Kyiv, hii inafanya Urusi wawe na hasira sana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Urusi inaendelea kutuma makombora mazito kuelekea Kyiv lakini yanapanguliwa, aisei mpaka sasa aina hii ya mashambulizi yangeelekezwa Afrika sidhani kama kuna taifa lingepona, muhimu sana na sisi tuwekeze kwa hizi patriots za Marekani...ndio muarubaini wa yote.

Russia launched a new wave of air attacks on Kyiv early Monday, employing drones and cruise missiles, shooting down more than 40 targets.

According to the Ukrainian capital’s military administration, there were no serious damages or injuries in Kyiv during Russia’s 15th air assault on the city in May, and the second overnight bombing in a row of equal severity.

“Another difficult night for the capital,” Kyiv Mayor Vitali Klitschko said on the Telegram messaging channel.

The incident follows the previous night’s largest drone onslaught on Kyiv, which killed one person and injured numerous more. 36 drones were shot down over Kyiv during the attack on Sunday.

Russia employed a combination of Iranian-made Shahed drones and cruise missiles in its Monday attack, according to the city’s military administration.

“With these constant attacks, the enemy seeks to keep the civilian population in deep psychological tension,” Serhiy Popko, head of the city’s military administration said on the Telegram messaging channel.

Ata Russia nae anaelewa hayo makombora asilimia kubwa yatatunguliwa.

Makombora yenyewe ni cheap, ndio maana Russia anayarusha kama mvua kila baada ya siku moja.

Lengo la Russia ni kumpumguzia anti-missles ammunition alizo nazo kabla Ukraine awajaanza hiyo offensive yao uchwara waliopanga ndio maana kila siku Ukraine wanaomba nyongeza.

Vitu mbinu, tofauti na unavyodhani.
 
Kwamba marekani na ulaya hawajui hlo ila wewe mla ugolo wa kwa aziz ally unajua?
 
... mbona inasemwa hypersonic za kirusi hazinaga kizuizi duniani? Au propaganda machinery at work?
Kuna mawili

1. Hizo Kinzhal sio Hypersonic au
2. Patriot ni zaidi ya kuijuavyo

Maana Patriot imefanya kazi Sehemu 1 tu yenye Hypersonic
 
Kwamba marekani na ulaya hawajui hlo ila wewe mla ugolo wa kwa aziz ally unajua?
Mbona unakurupuka kama umwemwagiwa maji ya moto.

Aliesema awajastukia hiyo mbinu ni nani, be it late.

Mie nimejibu tu mada sio jambo la kujivunia kuangusha hizo cheap, Iranian drones.

Russia washaona faida zake kwao, na sasa hivi wapo kwenye maongezi na Iran ya kupata kibali cha kuzitengeneza wenyewe wawaongeze dose.
 
Kwmb marekan na ulaya wao hawayajua hayo kwmb kuna drone cheap za iran znarushwa so tufanyeje kuzfungia kazi au siyo?
Kwan hzo drone wkt zmeanza kaz na sasa je madhara yake yanafanana?

Huo u cheap wa kudungua ktu cheap kwa cheap kwmb ulaya na marekan hawawaz hlo ila wewe mchoma mishikaki ya miamia wa pugu kwalala ndo unajua.
 
Urusi inaendelea kutuma makombora mazito kuelekea Kyiv lakini yanapanguliwa, aisei mpaka sasa aina hii ya mashambulizi yangeelekezwa Afrika sidhani kama kuna taifa lingepona, muhimu sana na sisi tuwekeze kwa hizi patriots za Marekani...ndio muarubaini wa yote.

Russia launched a new wave of air attacks on Kyiv early Monday, employing drones and cruise missiles, shooting down more than 40 targets.

According to the Ukrainian capital’s military administration, there were no serious damages or injuries in Kyiv during Russia’s 15th air assault on the city in May, and the second overnight bombing in a row of equal severity.

“Another difficult night for the capital,” Kyiv Mayor Vitali Klitschko said on the Telegram messaging channel.

The incident follows the previous night’s largest drone onslaught on Kyiv, which killed one person and injured numerous more. 36 drones were shot down over Kyiv during the attack on Sunday.

Russia employed a combination of Iranian-made Shahed drones and cruise missiles in its Monday attack, according to the city’s military administration.

“With these constant attacks, the enemy seeks to keep the civilian population in deep psychological tension,” Serhiy Popko, head of the city’s military administration said on the Telegram messaging channel.

Yaah kama hivi naona majengo ya huko Kyiv yanaintercept makombora
JamiiForums-539345382.jpg
 
Majengo Kyiv yanaintercept makombora hapaView attachment 2640226
Kabla hujachangia angalia source ya habari, kama ni ukreni hakuna ukweli hapo milipuko na uharibifu unatokeaje kama hizo patriotic zimefanya kazi. Pili hakuna raia yeyote wa ukreni anaruhusiwa kusema kinyume Cha maagizo ya bos USA. Untaka Kuna soko la siraha za baba.
 
Kwmb marekan na ulaya wao hawayajua hayo kwmb kuna drone cheap za iran znarushwa so tufanyeje kuzfungia kazi au siyo?
Kwan hzo drone wkt zmeanza kaz na sasa je madhara yake yanafanana?

Huo u cheap wa kudungua ktu cheap kwa cheap kwmb ulaya na marekan hawawaz hlo ila wewe mchoma mishikaki ya miamia wa pugu kwalala ndo unajua.
Shida yako ni uelewa mdogo

Wewe unaelewa military strategies kushinda wachambuzi ambao makomando wastaafu kutoka upande wanaowapa silaha Ukraine wanaoelezea kusudi la hiyo tactic na lengo lake.

Wewe unaweza kuchukua risk na rockets ambazo usipozitungua, basi zinaenda piga key targets. Na kwenye hizo rockets unaweza rushiwa ata cheap hamsini kwa siku halafu moja ni hypersonic in the mix; unapata wapi huo muda kuchagua silaha ya kujikinga zaidi ya kujaribu kudondosha zote.

Bora ya mie sakapoko nilie uswazi na kufuatilia strategies za hizo vita; kuliko wewe poyoyo unaejiropokea tu.

Hivi unadhani kwanini ata hao wanaomsaidia Ukraine wanaofia kutoa silaha zao mpya na kuwapa vitu ambayo wao wenyewe wako mbioni kuvitoa kama silaha zao. Wanajua hiyo vita Russia anaitumia pia kama testing ground ya uwezo wa silaha zao.

But then hayo mambo sio size yako; stick na mambo ya ushambenga sio military tactics zinazo endelea huko and intelligence ya kuchunguziana uwezo wa vifaa unaoendelea huko.

Eti cheap ammunition za surface to air missles Unafahamu ata gharama za kuweka guided system kwenye hizo silaha au unajiropokea tu.

Nione kama vile mpita njia tu maana sio mchangiaji wa kila siku kwenye ili jukwaa; endelea na watu uliowazaoea huwa sipendi kujibu maswali ya kitoto na kijinga.
 
Kabla hujachangia angalia source ya habari, kama ni ukreni hakuna ukweli hapo milipuko na uharibifu unatokeaje kama hizo patriotic zimefanya kazi. Pili hakuna raia yeyote wa ukreni anaruhusiwa kusema kinyume Cha maagizo ya bos USA. Untaka Kuna soko la siraha za baba.
Waache walishwe propaganda
 
Shida yako ni uelewa mdogo

Wewe unaelewa military strategies kushinda wachambuzi ambao makomando wastaafu kutoka upande wanaowapa silaha Ukraine wanaoelezea kusudi la hiyo tactic na lengo lake.

Wewe unaweza kuchukua risk na rockets ambazo usipozitungua, basi zinaenda piga key targets. Na kwenye hizo rockets unaweza rushiwa ata cheap hamsini kwa siku halafu moja ni hypersonic in the mix; unapata wapi huo muda kuchagua silaha ya kujikinga zaidi ya kujaribu kudondosha zote.

Bora ya mie sakapoko nilie uswazi na kufuatilia strategies za hizo vita; kuliko wewe poyoyo unaejiropokea tu.

Hivi unadhani kwanini ata hao wanaomsaidia Ukraine wanaofia kutoa silaha zao mpya na kuwapa vitu ambayo wao wenyewe wako mbioni kuvitoa kama silaha zao. Wanajua hiyo vita Russia anaitumia pia kama testing ground ya uwezo wa silaha zao.

But then hayo mambo sio size yako; stick na mambo ya ushambenga sio military tactics zinazo endelea huko and intelligence ya kuchunguziana uwezo wa vifaa unaoendelea huko.

Eti cheap ammunition za surface to air missles Unafahamu ata gharama za kuweka guided system kwenye hizo silaha au unajiropokea tu.

Nione kama vile mpita njia tu maana sio mchangiaji wa kila siku kwenye ili jukwaa; endelea na watu uliowazaoea huwa sipendi kujibu maswali ya kitoto na kijinga.
Kwmb we mchambuz wa keko magurumbasi unajua marekan na ulaya wanaogopa kutoa siraha zao mpya wanatoa za zaman ambazo mpk sasa urusi ameshndwa kukanyaga kiev je sku waktoa mpya si ukraine ataingia moscow.
Halafu punguza kuandka pumba
 
Back
Top Bottom