Patriot zinaendelea kulinda mji wa Kyiv, hii inafanya Urusi wawe na hasira sana

Patriot zinaendelea kulinda mji wa Kyiv, hii inafanya Urusi wawe na hasira sana

Nikiona tu uzi umeanzishwa na mkenya moja kwa moja nakumbuka yale maandamano ya kutaka ugali kutoka kwa bwana ruto. Najua hii thread imeanzishwa kwa msukumo wa njaa.
Yeye alisha sepa siku nyingi kukimbilia kwenye makambi ya ya wakimbizi sijui waganga njaa huko Sweden.
 
Hizo zinaitwa falling debris, nakuhakikishia mifumo ya ulinzi ya Marekani ni imara na ndio inalinda hadi nyumbani kwa allah wenu pale madina Kwanini miji ya Mecca na Medina inalindwa na Marekani kufuatia vitisho vya Yemen na Iran?
Muone MK254 alivyo kujibu - hajui hata alisemalo!!

Wanapo sema falling debris mara nyingi uiamaanisha mabaki ya yaliyo kuwa intercepted and destroyed kwenye higher altitude sio kwenye height ya majengo, an effective ADS inapashwa kuitercept in coming missiles kwenye altitude ya juu zaidi na sio usawa wa majengo.
 
Falling debris inaweza ikaangukia popote haichagui, a cruise missile kwenye trajectory yake ikipigwa inakua kifusi na kinaweza kuanguka popote huku kikiwaka moto, ni somo linaloeleweka hata na mtu wa la saba.
Tunapiga Moscow sasa Drones za Ukraine zashambulia Moscow, Urusi
 
Back
Top Bottom