Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Yeye alisha sepa siku nyingi kukimbilia kwenye makambi ya ya wakimbizi sijui waganga njaa huko Sweden.Nikiona tu uzi umeanzishwa na mkenya moja kwa moja nakumbuka yale maandamano ya kutaka ugali kutoka kwa bwana ruto. Najua hii thread imeanzishwa kwa msukumo wa njaa.
Mbona makao makuu ya jeshi imepigwa leo?
Muone MK254 alivyo kujibu - hajui hata alisemalo!!Hizo zinaitwa falling debris, nakuhakikishia mifumo ya ulinzi ya Marekani ni imara na ndio inalinda hadi nyumbani kwa allah wenu pale madina Kwanini miji ya Mecca na Medina inalindwa na Marekani kufuatia vitisho vya Yemen na Iran?
Anachokifanya ni kama kumwaga mbegu ndani ya yule afande mzazibari ukitarajia kupata mtotoKila kukicha jamaa anarusha mvua ya makombora, lakini ni kama anatwanga maji kwenye kinu[emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mbona makao makuu ya jeshi imepigwa leo?
Muone MK254 alivyo kujibu - hajui hata alisemalo!!
Wanapo sema falling debris mara nyingi uiamaanisha mabaki ya yaliyo kuwa intercepted and destroyed kwenye higher altitude sio kwenye height ya majengo, an effective ADS inapashwa kuitercept in coming missiles kwenye altitude ya juu zaidi na sio usawa wa majengo.