Patrobas Katambi: Tutachunguza clip ya Bodaboda kuvutana na Askari Polisi, haki itatendeka

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026

Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments;

TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo ni nini,kwa video clip fupi hakuna mmoja wetu anaeweza kuamua jambo hili kwa haki.

MSINGI wangu hataonewa mtu wala hatapendelewa mtu ila haki itatendeka, baada ya pande zote kusikilizwa na ushahidi kuchambuliwa kwa hatua stahiki.

Bofya hapa kuona tukio lenyewe ~ Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

SIO HAKI kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja.Tuwe na uvumilivu tuepuke hukumu za chuki bila kujua ukweli ndugu zangu. Tupost na mengi mema pia🙏🏾

CHUKI isitangulie ukweli na uhalisia ambao sote hatuujui hapo.Tutaamua kwa haki,Mungu atupe uvumilivu Watanzania wenzangu.

PATROBAS KATAMBI,
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI

photo_2026-08-10_08-53-13.jpg
​
 
Ukiona jeshi zima linahusishwa na kitendo cha police mmoja,Kuna jambo haliko sawa Kwa jeshi,Wadau waliomba liwe police services badala ya police forces!
 
Wataamua nini linchi limejiozea kila kitu kinajiendea chenyewe kama vile gari bovu, yani asikari kabisa anampiga meno bodaboda hadi mchuzi unatoka, saa nashangaa huyo ni askari ama mbwa?

Mkiambiwa watanzania mjipambanie wenyewe hamsikii, yaani kimsingi msipoamka hamna rangi mtacha ona mlipofikia kwa sasa ni pale ambapo mtu anakuja anachukua mkeo na wala hutakiwi kunyanyua pua yako, mtu anakuja anaua wooote kwenye familia wala hutakiwi kulia, mtu anakuja anajikatia shamba lako lote wala huthubutu kusema. SHAMEfull country.

Ukiona hata uhuru wa kitaaluma na mawazo unaingiliwa ujue kwisha habari yenu, imagine mhadhiri anayefundisha watu kufikiri tofauti na kuwa na critical thinking anakamatwa hovyo kisa ana mawazo tofauti na wale zero brain, what a country.
 
KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026

Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments;

TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo ni nini,kwa video clip fupi hakuna mmoja wetu anaeweza kuamua jambo hili kwa haki.

MSINGI wangu hataonewa mtu wala hatapendelewa mtu ila haki itatendeka, baada ya pande zote kusikilizwa na ushahidi kuchambuliwa kwa hatua stahiki.

Bofya hapa kuona tukio lenyewe ~ Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

SIO HAKI kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja.Tuwe na uvumilivu tuepuke hukumu za chuki bila kujua ukweli ndugu zangu. Tupost na mengi mema pia🙏🏾

CHUKI isitangulie ukweli na uhalisia ambao sote hatuujui hapo.Tutaamua kwa haki,Mungu atupe uvumilivu Watanzania wenzangu.

PATROBAS KATAMBI,
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Mkipata majibu infavour of boda boda nchi ipata anga nyekundu ghafla
 
Attachments

  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 13
SIO HAKI kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja.

Kumbe na wao hudai haki kabla ya kuhukumiwa?

Je wale wanaowateka na kuwaumiza/kuwauwa/kuwapoteza kwa nini wanahukumiwa bila haki?

Leo wanadai haki, siyo amani. Kwa hiyo ni wazi bila haki hakuna amani.

Kijana anadai haki yake hawezi kuwa na amani kama atanyang'anywa haki yake. Tutende haki.
 
Kila askari akizingua wanasema tusihukumu jeshi zima. Sawa, hatuhukumu taasisi, lakini hiyo mizizi mibaya inatoka wapi kama sio ndani ya hiyo taasisi?
 
KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026

Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments;

TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo ni nini,kwa video clip fupi hakuna mmoja wetu anaeweza kuamua jambo hili kwa haki.

MSINGI wangu hataonewa mtu wala hatapendelewa mtu ila haki itatendeka, baada ya pande zote kusikilizwa na ushahidi kuchambuliwa kwa hatua stahiki.

Bofya hapa kuona tukio lenyewe ~ Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

SIO HAKI kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja.Tuwe na uvumilivu tuepuke hukumu za chuki bila kujua ukweli ndugu zangu. Tupost na mengi mema pia🙏🏾

CHUKI isitangulie ukweli na uhalisia ambao sote hatuujui hapo.Tutaamua kwa haki,Mungu atupe uvumilivu Watanzania wenzangu.

PATROBAS KATAMBI,
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Maaskari wanapenda sana KITONGA ,umemzungusha bodaboda lisaa lizima ,anataka umpe elfu 35 yake kama alivyoeleza unaleta vurugu.

Katambi naye ni MWEHU kweli achunguze nini wakati bodaboda kaeleza wazi kwamba lazima amlipe pesa yake.
 
KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026

Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments;

TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo ni nini,kwa video clip fupi hakuna mmoja wetu anaeweza kuamua jambo hili kwa haki.

MSINGI wangu hataonewa mtu wala hatapendelewa mtu ila haki itatendeka, baada ya pande zote kusikilizwa na ushahidi kuchambuliwa kwa hatua stahiki.

Bofya hapa kuona tukio lenyewe ~ Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

SIO HAKI kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja.Tuwe na uvumilivu tuepuke hukumu za chuki bila kujua ukweli ndugu zangu. Tupost na mengi mema pia🙏🏾

CHUKI isitangulie ukweli na uhalisia ambao sote hatuujui hapo.Tutaamua kwa haki,Mungu atupe uvumilivu Watanzania wenzangu.

PATROBAS KATAMBI,
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Anayesema atachunguza yeye mwenyewe anahitaji achunguzwe! Vichekesho!
 
Back
Top Bottom