Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ukiona jeshi zima linahusishwa na kitendo cha police mmoja,Kuna jambo haliko sawa Kwa jeshi,Wadau waliomba liwe police services badala ya police forces!KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026
Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments;
TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo ni nini,kwa video clip fupi hakuna mmoja wetu anaeweza kuamua jambo hili kwa haki.
MSINGI wangu hataonewa mtu wala hatapendelewa mtu ila haki itatendeka, baada ya pande zote kusikilizwa na ushahidi kuchambuliwa kwa hatua stahiki.
Bofya hapa kuona tukio lenyewe ~ Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1
SIO HAKI kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja.Tuwe na uvumilivu tuepuke hukumu za chuki bila kujua ukweli ndugu zangu. Tupost na mengi mema pia🙏🏾
CHUKI isitangulie ukweli na uhalisia ambao sote hatuujui hapo.Tutaamua kwa haki,Mungu atupe uvumilivu Watanzania wenzangu.
PATROBAS KATAMBI,
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Mkipata majibu infavour of boda boda nchi ipata anga nyekundu ghaflaKAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026
Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments;
TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo ni nini,kwa video clip fupi hakuna mmoja wetu anaeweza kuamua jambo hili kwa haki.
MSINGI wangu hataonewa mtu wala hatapendelewa mtu ila haki itatendeka, baada ya pande zote kusikilizwa na ushahidi kuchambuliwa kwa hatua stahiki.
Bofya hapa kuona tukio lenyewe ~ Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1
SIO HAKI kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja.Tuwe na uvumilivu tuepuke hukumu za chuki bila kujua ukweli ndugu zangu. Tupost na mengi mema pia🙏🏾
CHUKI isitangulie ukweli na uhalisia ambao sote hatuujui hapo.Tutaamua kwa haki,Mungu atupe uvumilivu Watanzania wenzangu.
PATROBAS KATAMBI,
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI
KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026
Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments;
TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo ni nini,kwa video clip fupi hakuna mmoja wetu anaeweza kuamua jambo hili kwa haki.
MSINGI wangu hataonewa mtu wala hatapendelewa mtu ila haki itatendeka, baada ya pande zote kusikilizwa na ushahidi kuchambuliwa kwa hatua stahiki.
Bofya hapa kuona tukio lenyewe ~ Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1
SIO HAKI kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja.Tuwe na uvumilivu tuepuke hukumu za chuki bila kujua ukweli ndugu zangu. Tupost na mengi mema pia🙏🏾
CHUKI isitangulie ukweli na uhalisia ambao sote hatuujui hapo.Tutaamua kwa haki,Mungu atupe uvumilivu Watanzania wenzangu.
PATROBAS KATAMBI,
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Boda walitakiwa wamuu...ePolisi atalindwa
😃😃Boda walitakiwa wamuu...e
SIO HAKI kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja.
Maaskari wanapenda sana KITONGA ,umemzungusha bodaboda lisaa lizima ,anataka umpe elfu 35 yake kama alivyoeleza unaleta vurugu.KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026
Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments;
TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo ni nini,kwa video clip fupi hakuna mmoja wetu anaeweza kuamua jambo hili kwa haki.
MSINGI wangu hataonewa mtu wala hatapendelewa mtu ila haki itatendeka, baada ya pande zote kusikilizwa na ushahidi kuchambuliwa kwa hatua stahiki.
Bofya hapa kuona tukio lenyewe ~ Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1
SIO HAKI kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja.Tuwe na uvumilivu tuepuke hukumu za chuki bila kujua ukweli ndugu zangu. Tupost na mengi mema pia🙏🏾
CHUKI isitangulie ukweli na uhalisia ambao sote hatuujui hapo.Tutaamua kwa haki,Mungu atupe uvumilivu Watanzania wenzangu.
PATROBAS KATAMBI,
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Anayesema atachunguza yeye mwenyewe anahitaji achunguzwe! Vichekesho!KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026