Pre GE2025 Paul Christian Makonda ni chaguo lao kwenye nafasi ya Waziri Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hilo lishamba? Be serious
 
Bila shaka ulikua/ni mtoto ila hicho unachokisema ni kosa kisheria

Na hayo majina sio unaenda shuleni unachukua tu kama karanga, ni unanunua. Mzazi anatoboka ili upewe jina.

Na hayo majina ni ya wale watoto waliofanya mtihani wa darasa na 4 wakafaulu ila wakakacha shule.
 
😂😂😂toka ndoto...unaota ujinga uchafu... MAKONDA hawezi kuwa pm ever never ....hata mkewe awe Rais.
Utaratibu wa kawaida Waziri Mkuu anakuwa mbunge mwenye jimbo.
Raisi anateua jina la Waziri Mkuu.
Linaletwa bungeni linajadiliwa na kupigiwa kura.
Kwa utaratibu wa kawaida Makonda anatakiwa kwanza kuwa mbunge asiyetokana na teuzi.
Lakini pammoja na hilo anaweza akalipata jimbo.
Swali la msingi ni msafi kiasi gani hadi apendekezwe kuwa Prime Minister?
Mteuzi ambae ni Raisi ndie anajua usafi wa Makonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…