Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

Kila mwaka tunapeleka watu russia, cuba, china kwa kazi hiyo.
 
Nyooo!! Umnyonyoe na outdated missiles?? Brick breaker commandos!! Mfyuu you are dreaming my broda! The man is committed and his first target is here kama hujui! Subir..tena waswahil wenyewe wa pwan ndo wameshika injii..mfyuuu
Outdated missiles ganii unazungumzia? Kwani missiles ni silaha pekee ya ushindi?
 
Hii ni threat.

Aliongelea wishing a peace na hakuidadavua zaidi kama.alivyodadavua war...
Hajui kuku wa kienyeji siyo lazima kumnyonyoa Kwa kumchemshia maji ya moto, Bongo tutamnyonyoa bila kumloweka na maji ya baridi!
Wana kivita chao wenyewe personal kati ya Rwanda, Uganda, Burundi na DRC. Sisi tunawacheki tu!

Sadly, hao maraisi hawapendi front wanakaa majumbani na familia zao wakinywa mvinyo na asali, wanajeshi wanaoamishwa wanapigania nchi zao wanaoumia. Kumbe wanapigania kutajirisha mabosi zao!
 
Kidhungu sasa, mercenary war lord for hire!

Na atakuwa anawashwawashwa maana mama kaenda huko huko Ufaransa!

Sasa hivi nchi zilizomzunguka zikiamua paap, tuipige Rwanda ndani nje nje ndani atabakia Nani?

Nchi nzima population Sawa na Mkuranga!
 
Kila mwaka tunapeleka watu russia, cuba, china kwa kazi hiyo.
Sampo ya majasusi wanaopelekwa na Rwanda kwenda kusomea Urusi na Israel [emoji23][emoji23] hawa ndio kagame anajivunia

mimi peke yangu kama raia tu nawajua majasusi zaidi ya 30 wa Rwanda na wapo ambao nimesoma nao

kwanza wanatabia ya kujiachia wakiwa nchi za ulaya masomoni na kutembea kwa makundi

baadae nitaweka tabia 5 kuu za kipekee za majasusi wa Rwanda [emoji16][emoji16]
 

Attachments

  • IMG-20220217-WA0002.jpeg
    52.4 KB · Views: 10
Sawa kabisa silaha zao, zilikuwa za jadi, marungu, mapanga, mikuki,
Intelijensia, ya PK ni kwa ajili ya kuhakikisha yeye anabakia madarakani!
Hana intelligence zaidi ya hiyo!
 
Maneno mengi huyo...
wewe umesema ukweli,nimeisoma Historia ya EAc toka mwaka 2013 kiundani,Rwanda si lolote,watakuja hapa member wajidai kuisifu lakini ukisoma nyuzi zangu toka nimejiunga JF 2017 utaelewa nachosema.

Nimeandika personal accounts za watu wazito wa majeshi ya Rwand na Congo,Uganda
 
Nimekubali Brother, big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…