Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

Ni kweli vijana wake have penetrated our country in all key sectors including our security apparatus!! Hivyo anajua nguvu na weakness ya nchi yetu!!
Marehemu Mtikila aliwahi kuandika juu ya Kagame na ndoto zake lakini akapuuzwa!!
Inferiority complex inawasumbua sana vijana wengi wa nchi hii. Anyway, wanaume wenye akili wako kazini kuhakikisha mko salama mpaka mnapata nafasi ya kuandika hizi pumba mitandaoni
 
Acha Kudanganya wewe.

Population ya watu weusi Duniani ni 1.3B. Waliobaki wote ni Weupe ambao ni zaidi ya 6B.

Waafrika ni wachache kuliko Wazungu ndio maana tunanyanyaswa dunia nzima.
Waarabu sio Ngozi weupe - Kahawia
Wachina / wajapan sio weupe - Yellow
Wahindi sio weupe - Red color
Wazungu ndio weupe
Chunguza vizuri hizo rangi utaona tofauti zao
 
Hawa watakuwa wamezulumiana na mseveni kule Kongo
M7 kala kichwa tayari,
Alafu huyu kugombana na m7 hawezi maana kikinuka huko anajua wanateremka tu kwa brother.
Congo kuna banyamulenge kule balaa lao acha tu.
Burundi kibonde wake.
Tz hana ubavu ataanzia wapi.anafutwa kabla hata kufika bukoba.
Na Malawi ataendaje kabla ya kupita tz.
Kenya labda maana bado wale jamaa wanagombea ubwabwa toka uhuru
 
A) So what? When the deal between Total France etc and Rwandan government was signed in secrecy to FIGHT on BEHALF of France, France gave Rwanda Monies, Weaponry, and Logistics🙁Your argument)1

B) Let me jog up your mind a little bit. Who began ASKING permission to be allowed to go and fight in Mozambique? The answer is RWANDA. (Your argument)2

(C)By Isaac Mugabi| 13.07.2021 DW. Let me be frank with you France approached Mozambique covertly to convince Maputo how important Rwanda would be on that battle. The President bought the idea at the BEHEST of FRANCE and the rest is history. (Your Fact)

Totally contradicting,
Any way have good day;
Murakoze nawe🙏🙏
Naona bwana Kabarebe unampambania bos wako anayekupa ulaji huko Rwanda
 
Kabarebe Jr

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Sema Kabarebe binafsi namkubali kishenzi..Jamaa anaanza kuongoza mishen nzito nzito za kivita at an age of 25 years tayar yuko battle field wakaqt hapa bongo ndio kwanza bado kula kulala asilimia kubwa vijana wa umri huo..kushinda mitandaoni tuu siku nzima
 
tuko katika nchi ambayo mabomu yanajiripukia yenyewe kila mara!!
nchi ya watu wazembe afu tujiringanishe na rwanda kweli!!… naikubali tz lakin hatuna uongozi
Unajuaje huko Rwanda hakuna uzembe au propaganda zilizopo tu? Unajua hali halisi ya Hutu na Tutsi huko au kwa vile ameweza kucontrol media ndio maana? We got 99 problems lakini nakuhakikishia Rwanda Aint One..labda UG na Congo huko
 
President Kagame: We wish everybody in the region peace, but anyone who wishes us a war, we give it to him. We have professionals trained for it. Rwanda is small in size, our doctrine is to fight war on enemy territory when it calls for it.

Source: The New Times Rwanda




Hahahaha!
 
Georgia alijifanya ana back up ya wazungu mrusi alipoingia hamna hata aliyethubutu kumsaidia,juzi kati the same albania acha achonge azebairjan akamtimba ipasavyo hamna aliemsaidia,kagame ni kama savimbi flan anaetumika na magharibi siku wakimchoka genocide itakayopigwa pale si ya kitoto maana kagame ameshindwa kuwaunganisha warwanda zaidi ya kuwaletea ubabe wahutu,wale jamaa miaka yote wanaishi kinyonge sana kwenye nchi yao
Kumbe Georgia na Russia sio wazungu?ni wahindi,waarabu au wachina?!
 
Sema Kabarebe binafsi namkubali kishenzi..Jamaa anaanza kuongoza mishen nzito nzito za kivita at an age of 25 years tayar yuko battle field wakaqt hapa bongo ndio kwanza bado kula kulala asilimia kubwa vijana wa umri huo..kushinda mitandaoni tuu siku nzima
Mazingira na wakati vinaamua nani awe wapi na afanye nini kwa wakati huo.

Hata leo wapo vijana wadogo porini wanaendesha mapigano dhidi ya majeshi ya serikali.



Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Simlisema mnalinda hata Ikulu ya Magufuli au sio ninyi [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Hahh! Hiyo mlisema wenyewe,mlikuwa mnacomplain kila siku.
Hiyo blog sidhani kama Niya Munyarwanda.
 
Ni ile ishu ya kuipiga miela uganda dhidi ya kesi ya DRC kushindwa vibaya sasa jamaa anaanza kupanic...
 
Back
Top Bottom