Paul Kagame: Hakuna wa kunipa maelekezo, wanaodhani wana nguvu juu yangu hiyo haiwezekani. Sipendi uchokozi

Huu mgogoro ilitakiwa umkute mzee baba Magu.

Sijui ingekuaje hiiiiiiiiiiiii bhagooosha
magu alishafyata mkia, na yeye ndiye wa kwanza kusubmit kwa kagame hadi akazushiwa hadi walinzi wake walikuwa wanyarwanda. jiwe ndio alipoteza kabisa heshimana hadhi ya Tanzania mbele ya Rwanda, heshima ambayo kikwete aliijenga kwa nguvu sana.
 
Uzushi!!!
Hakuna credibility kwenye uzushi.
 
Nchi za SADC zinafeli wapi?

Huyu ni wakumtegenezea makundi ya waasi huko kwake ili awe busy na yanayomhusu!

Lt.Gen Nyamwasa na Wanyarwanda walioko uhamishoni wawezeshwe silaha na mafunzo kama enzi za FRELIMO waingie mzigoni.
 
Nenda katengeneze kama unao uwezo
 
huyu jamaa anawashika wajinga wajinga ambao wanafall kwenye hizo PROPAGANDA ZAKE.

ANAKWAMBIA KAMA YEYE MBAYA MBONA WEST WANAMPA SUPPORT🤣🤣🤣🤣HUYU AJUI KAMA ANATUMIKA KAMA TOILET PAPER ANAJIONA YEYE SPECIAL😇
Kinachonitisha sio kuanguka kwa Kagame Ila Rwanda itaendeleaje ikiwa tension baina ya watusi na wahutu haijaisha. Na Kagame ni kama uzi mwembamba sana ulioshikilia Rwanda.. Sijui huo uzi ukikatika patakalika kama hakuna strong system
 
Mimi naona wanamchelewesha tu huyu, ngoja nimfuate.
 
Raisi wa Rwanda Paul Kagame amesema akipigiwa simu na Felix Tshisekedi ataipokea.
 
Siyo kwamba hataki kuaachia madaraka Bali wananchi zaidi ya 90%wanataka aendelee kiutawala.Tungepata kiongozi kama kagame,Tanzania yetu ingeng'ara kama nchi za wenzetu vinavyong'ara.Siyo ule upuuzi wa kuuza maliasili Hivyo
Dogo kakojoe ulale pumbavu.Unakaa chini kabisa unaandika utoko kama huu.You stupid useless headless chicken😀.Yaani umekuwa mshabiki kiasi kwamba your BRAIN HAS GONE INTO COMA,POOR YOU!!!

Alafu ukute wewe ni mTz ujingaujinga tu ukute hujawahi hata kusafiri kutoka nje ya mkoa uliopo.

📌📌📌Dogo huna akili!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…