imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Una IQ ndogo sana kuelewa mambo ya Kijeshi unaendeshwa na chuki dhidi ya Watutsi na ujinga mnaojazana.Mkuu siraha zinazoogopwa duniani kwa sasa ni missile, makombola ni siraha hatari sana ukiwa na missile mzuri aaa hakuna wasiwasi wowote mkuu, congo kule ANAHITAJI missile m23 wanatwangika vizuri sana.