Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Mkuu hapo kwa kusema kawaunganisha warwanda mbona unatupanga [emoji3],pk hamna alipofeli hapo rwanda kama ukabila na udikteta,population ya rwanda tutsi awafiki hata 30% lakini most ya idara za kiserikali na kiraia zinaendeshwa na tutsi
Hapa kwenye hili swala mi masema kagame anakwama ila kuhukumu kwa haraka

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
KAGAME HANA UJASUSI WOWOTE HAPA MARA NGAPI KATISHIA NCHI JIRANI NYINGI TUU KWANI KAZIFANYA NINI.
NA UJASUSI WAKE HAKUNA LOLOTE PALE.
 
Teh teh teh 😂😂😂 huu uzi una vituko kweli kweli..😂😂
Tena sana na wabongo wanavyomuogopa jamaa unafikili kama unclear daaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Mkuu hapo kwa kusema kawaunganisha warwanda mbona unatupanga 😀,pk hamna alipofeli hapo rwanda kama ukabila na udikteta,population ya rwanda tutsi awafiki hata 30% lakini most ya idara za kiserikali na kiraia zinaendeshwa na tutsi
Kwasababu Kagame kafuta Vitambulisho vinavyobagua Makabila kama vile vilivyotumika katika kuwajua Watutsi ili kuwaamgamiza.

Sasa hivi ni vigumu kujua kuna Wahutu wangapi au Watutsi wangapi na Watwa ni wangapi kwenye Idara za Serikali na Taasisi za Nchi ya Rwanda.

Sidhani kama kuna Data labda uniwekee hapa nami niisome.
 
Hapa kwenye hili swala mi masema kagame anakwama ila kuhukumu kwa haraka

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Tusihukumu kwa haraka sana pengine anajihami na kwa kuogopa itatokea genocide nyingine baada wahutu kushika dola.

Rwanda neno mtusi na mhutu ni kosa kutamka na kujipambanua kwa utusi na uhutu. Wote wanajieleza kama wanyarwanda. Lakini kwa ndani bado ukabila upo tena mkubwa wanaliana timing tuu.

Kagame angekuwa bright enough he have avoided that kwa kuanzia hata sirikali mseto to balance the power between Hutu and Tutsi. Au angefanya succession of power between Hutu and Tutsi ikiambatana na kubadili katiba yake.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu Kagame kafuta Vitambulisho vinavyobagua Makabila kama vile vilivyotumika katika kuwajua Watutsi ili kuwaamgamiza.

Sasa hivi ni vigumu kujua kuna Wahutu wangapi au Watutsi wangapi na Watwa ni wangapi kwenye Idara za Serikali na Taasisi za Nchi ya Rwanda.

Sidhani kama kuna Data labda uniwekee hapa nami niisome.
Weee wanajuana vizuri kabisa, mkuu tena kabisa tena sana
 
SIASA za Rwanda ni ngumu mno. Sisi kama nchi, timejipambanua mbele ya jumuiya za kimataifa kwamba ni non alligned country.

Kama kuna mkwara au vitisho vyovyote kutoka kwa Mheshimiwa Rais Kagame, ni wazi kwamba vitakuwa vinaelekezwa Kenya, Uganda au Congo DRC.
 
Hivi Kagame anamaliza lini uongozi wake? Nakumbuka kwenye uchaguzi wa mara ya mwisho(sikumbuki ulikuwa mwaka gani) lakini nilimsikia akisema akimaliza awamu hii hatagombea tena! Akaanza kumshughulikia yule mrembo aliyekuwa mpinzani wake.
 
Abaki kidogo mpaka huu mgogoro uishe halafu kuna mgogoro mwingine upo kwenye Horizon katika Nchi ya Burundi ambao huenda ukazaa Genocide kama hakuna Nchi nyingine zitakazoenda kizuia hiyo Genocide Paul Kagame alishaapa kuwa atatuma Askari wake kwenda kuzuia Genocide popote pale Afrika. Urumva!
phprJyBgM.jpg
 
Aje atusaidie kuwang'oa CCM na tutampa ushirikiano, kama waganda walivyotupa kwenye vita ya Uganda ili kumng'oa amini.
Kunielewa ni ngumu mno huyu amekwisha jioni ni nchi ndogo, yenye rasilimali finyu, chamno akachukue DRC, kibabe, akibanwa sana atakopa silaha nzitonzito za kutisha za maangamizi akishafikia stage hiyo atakuwa anafanya apendavyo kutakuwa hakuna wa kumletea fyoko na Kongo atajigawia kwa ukubwa aupendao, take my note!
 
Sema anapofail jasusi mtu mrefu aka Paulo the don ,ni kutoweka succession plan na mfumo mzuri wa uongozi utakaosaidia kufuta nyongo na chuki za kikabila ,siku akitoka madarakani ,nakuhakikishia ile nchi hapatakalika ,wale wahutu bado wanachuki kali ,Trust me .Kuona majority ya uongozi na nyadhifa kwenye vyombo vya ulinzi vimeshikiliwa na Watutsi huku wao wakiwa underrepresented ethnically lazima liwaume sana na definitely linawauma sema hawana pa kujieleza coz wanajua mkono wa chuma utahusika maana Paulo Mtu mrefu si mtu wa mchezo kwenye kutumia ubabe kupambana na wanaompinga hapo Rwanda .
 
akigonga sana atakopa silaha nzitonzito za kutisha za maangamizi akishafikia stage hiyo atakuwa anafanya apendavyo
Mbona sisi tuna silaha nzito nzito za kutisha na bado huwa tunawatisha Wamalawi kwamba wasilete fyoko fyoko wakati tumeikalia Ardhi yao

Kwanini isiwe Rwanda ambayo haikalii Ardhi ya mtu yoyote?
Kwahiyo Nyani haoni Kundule anaona la mwenzake.
 
Aipindue mara ngapi ? ,unaongelea Congo hii au Congo ya Mars ? ,Congo hii ambayo kaifanya kama chooni kwake ? , he shit in it anyway and anyhow he want , hujui kwamba Yule commander , tena the best and trusted military commander of all time na tegemeo wa Paulo Kagame ,Yule Kabarebe aliwahi kuwa mkuu wa jeshi la Congo ? ,Au Hilo nalo mpaka uambiwe ?,yule Joseph Kabila junior ni kibaraka wa Kagame mpaka leo hii sasa angekpindua ili iweje ,kipindi cha kabila we uliwahi ona misuguano kati Kagame na Kabila junior ? .
Museveni hakuwa mjinga kulipeleka lile lijamaa military college kule Marekani aliona brain capacity yake
MUSEVENI HAKUMPELEKA NI USA WENYEWE WALINCHUKUA USICHANGAYE, TENA NI CIA NDO WALICHUKUA MKUU
 
Sasa kama kashidwa kupata michoro kwa jeshi la congo mpaka wanapigwa na kukimbizwa na FARDC vipi kwani

Akangalia mpaka mwisho.
 
Definitely Kage Ana support M23,,, last time alikua na haya maneno ya kwenye kanga Enzi za JK TZ iliposambalatisha M23
 
SIASA za Rwanda ni ngumu mno. Sisi kama nchi, timejipambanua mbele ya jumuiya za kimataifa kwamba ni non alligned country.

Kama kuna mkwara au vitisho vyovyote kutoka kwa Mheshimiwa Rais Kagame, ni wazi kwamba vitakuwa vinaelekezwa Kenya, Uganda au Congo DRC.
Anawapa wakongo.
MIMI MKUU NIMEWAHI KUMSIKIA AKISEMA HAKUNA YEYOTE ANAYEWEZA KUMTOA MADARAKANI KWA NAMNA YEYETE HILE ILIKUWA MWAKA JANA KAMA SIJAKOSEA.
Tena wakasema hata wakiungana hawataweza ni vitisho tuu sasa nashaangaa wabongo wanawashwa
 
Mbona sisi tuna silaha nzito nzito za kutisha na bado huwa tunawatisha Wamalawi kwamba wasilete fyoko fyoko wakati tumeikalia Ardhi yao

Kwanini isiwe Rwanda ambayo haikalii Ardhi ya mtu yoyote?
Kwahiyo Nyani haoni Kundule anaona la mwenzake.
Mkuu siraha zinazoogopwa duniani kwa sasa ni missile, makombola ni siraha hatari sana ukiwa na missile mzuri aaa hakuna wasiwasi wowote mkuu, congo kule ANAHITAJI missile m23 wanatwangika vizuri sana.
2013 ile walipigana na jw kwa mwamvuri wa UN , m23 walipigwa kombola moja wakagawanyika , ilikuwa ni hatari
 
Wanyrwanda kwa tambo za kishamba.

Yaani nchi ambayo mafuta yake yanapitia Tanzania na inategemea food import kutoka Tanzania, itutishe.

Kenya na Tanzania wakisema wanazuia Rwanda imports zinazopitia bandari zake ndio zitamuonyesha ufupi wa pua yake.

Ebu wacheni kumkuza huyo narcissists na mropokaji. Tanzania sio Hutu militia, embu ajaribu aone mziki.
 
Mbona sisi tuna silaha nzito nzito za kutisha na bado huwa tunawatisha Wamalawi kwamba wasilete fyoko fyoko wakati tumeikalia Ardhi yao

Kwanini isiwe Rwanda ambayo haikalii Ardhi ya mtu yoyote?
Kwahiyo Nyani haoni Kundule anaona la mwenzake.
MKUU WATU WENGI WANAFIKILI DEFENCE INDUSTRY NI KITU AMBACHO SI CHA GHALAMA, UKWELI NI KWAMBA NCHI ZA AFRICA KUMILIKI SIRAHA HATARI ZA MAANGAMIZI SIO RAHISI,
KWA MATAIFA YA AFRICA WENGI TUNA,
Hizo siraha 👇
AK-47 TENA RWANDA NDO ZIMEJAA HATARI
PKP- LIGHT MACHINE GUN
HEAVY MACHINE GUN KAMA DSK, AU CHINESE TYPE W85
RPG
recoilless rifle
mortar bomb
BM21 multiple rocket launcher
type63 multiple rocket launcher
artillery 105mm
artillery 155mm
Ant tank missile.
Ukiachana na jet fighter na drone.
SIDHANI kama kuna siraha zaidi ya hapo
T14 Armata
HATA KAGAME MUNAYEMSEMA HAPO NDO HIZO AMBAZO ANAZO.
 
Back
Top Bottom