FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Muasi ni muasi tu, hata sisi tukianza uasi kwa sababu seriakali inakopa matrilioni na kuyapelea Zenji ilihali madeni tunalipa Tanganyika, hiyo bado haituondolei title ya waasi, na tutashughulikiwa accordingly, kitaifa na hata kimataifa.Kwasababu wao ni Victims wa Bantu aggression.