zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hahahhaha hiyo ni ambush mkuu Tena kwenye foreign land it's understandable. Ila nyie mko kwenu kwenye familiar ground alafu mnatandikwa ni aibu kwa kweli, imagine mpaka Nairobi kabisa mnakaangwa na magaidi!!Naendelea kukuelimisha kwamba migogoro ya baina ya nchi ni tofauti na malumbano ya ndani ya nchi, kawaida ndani ya nchi inakubidi uwe makini usiwaue watu wako, ila kule nje ni fulu makombora maana unambana na watu wasiokua na huruma kama hawa hapa Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho
Mna jeshi dhaifu sana huo ndio ukweli hata kuweka usalama Samburu tu hamuwezi ndio sembuse Goma?? Narudia mnachokitafuta mtakipata