Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu JokaKuu ni mahakama ya kimataifa pekee ndio inayoweza kuhitimisha kuwa kulitokea genocide dhidi ya wahutu huko Drc, japo wanadai ushahidi wa kutosha upo ikiwemo simulizi za mashuhuda na manusura wa hayo matukio.
Aende akashtaki kwa Kwa huyo Kagame wakeDuh Mbna unaujinga San unamtukana wakili Tena wa mahakma kuu
MALCOM LUMUMBA nimesikitishwa sna kutukanwa kwako na huyu mjinga aliyetukuka
Kwahiyo umfanye Jambazi awe sehemu ya familia? Hayo yatakuwa matumizi mabovu ya akiliKundi la Wakongo wenye asili ya Kitutsi M23 liingizwe kwenye Jeshi la Kongo halafu Nchi jumuia za Afrika Mashariki tuli train Jeshi la DRC liwe kwenye Standard kama zetu ili visitokee vikundi vingine tena kutumia Ardhi ya Kongo kushambulia Majirani.
Hiyo racism.Kwahiyo umfanye Jambazi awe sehemu ya familia? Hayo yatakuwa matumizi mabovu ya akili
Siku zake zinahesabika, aache ujambazi anaofanya DRC, vinginevyo atasukumiwa kuzimuMungu ampe maisha marefu na Afya njema Rais Paul Kagame ili aendelee kulinda Watu wake.
Maadui wamekuwa wengi wanatakiwa waonyeshwe cha Mtema kuni.
Kagame ni Rais wa Rwanda au ni Rais wa Watutsi au ni Rais wa WaHutu? Unajua ukijisahau sana utajikuta unakunya sebuleniRwanda walikuwa na sababu ya kuivamia DRC, Interahamwe na Jeshi la zamani la Rwanda waliingia DRC, na Jeshi la Mobutu halikuwanyang'anya Silaha, kama sheria za Kimataifa zinavyotaka.
Walibaki na Silaha zao, chini ya uangalizi wa Jeshi la Mobutu, ambae alikuwa Mshirika mkubwa wa Serikali ya zamani ya Rwanda, na Mobutu alituma Majeshi kwenda kupigana bega kwa bega dhidi ya RPF.
Kagame akaona Kongo imetake sides kwenye hiyo conflict
Isitoshe Interahamwe wakaanza kuwaua Watutsi wa DRC huku Gavana wa Kivu akiwaunga mkono.
Kagame hakuingia DRC kwa hiyari yake alikuwa anajihami
Ila hilo swala la Hutu Genocide halina ushahidi na kama unao hebu uwdke hapa.
Jambazi ni jambazi, haijalishi ni wa race gani, haimuondolei ujambazi wakeHiyo racism.
Mbona manguruwe wao wanavuna Ila hamuongei ama monkey mwenzako akikula unaumia. Yaani bana nyie ndio mkiwaga matajiri mnanufaisha watu wa nje huku ndugu zako wakiwa hawapati hata kumi yako. Mbona hao manguruwe ngozi wananufaika na wanaiba mno huko.Ka-game anataka mambo yabaki kama yalivyo saivi ili aendelee kuvuna raslimali za DRC kama kawa..b
Hayo mauwaji ya kulipiza Kisasi hayakufikia level ya Genocide na ni human nature ku kulipa kisasi.
We naye hujui kitu.... M23 walikua wameingizwa jeshini kama tu kina Bosco Ntaganda ila baada ya baadhi ya makubaliano kutofanikishwa na serikali wakajitoa jeshini.Kwahiyo umfanye Jambazi awe sehemu ya familia? Hayo yatakuwa matumizi mabovu ya akili
Mkuu JokaKuu ni mahakama ya kimataifa pekee ndio inayoweza kuhitimisha kuwa kulitokea genocide dhidi ya wahutu huko Drc, japo wanadai ushahidi wa kutosha upo ikiwemo simulizi za mashuhuda na manusura wa hayo matukio.
Ila matukio yaliyofanya Rwanda kuivamia Zaire ya mwaka 1996 zinafamika wazi...kuwa yale makambi ya wakimbizi wa Kihutu yalihifadhi pia wahalifu na wahusika wa genocide ya 1994 huko Rwanda na UN pamoja na mataifa makubwa hayakufanya lolote kuwaondoa wale wahalifu waliokuwa wamejichanganya na wakimbizi huku wakipanga tena uvamizi wa Rwanda.
Kiufupi matukio yaliyotokea enzi hizo huko Zaire kwenye makambi ya wahutu yalienda sambamba na Vita kati ya waasi wa Kabila dhidi ya serikali ya Mobutu, hivyo kulikuwa na Vita mbili zenye malengo tofauti.
zitto junior mtu chake Moronight walker Count Capone
Na hiyo ndio ile Idiology iliyosababisha Mauwaji ya Kimbari.Jambazi ni jambazi, haijalishi ni wa race gani, haimuondolei ujambazi wake
Raisi ni Raisi wa Wanyarwanda.Kagame ni Rais wa Rwanda au ni Rais wa Watutsi au ni Rais wa WaHutu? Unajua ukijisahau sana utajikuta unakunya sebuleni
Tulitegemea awe sehemu ya kuwatetea wa Afrika wenzake dhidi ya hao nguruwe, na sio kutumika na manguruweMbona manguruwe wao wanavuna Ila hamuongei ama monkey mwenzako akikula unaumia. Yaani bana nyie ndio mkiwaga matajiri mnanufaisha watu wa nje huku ndugu zako wakiwa hawapati hata kumi yako. Mbona hao manguruwe ngozi wananufaika na wanaiba mno huko.
Sasa imekuaje Tanzanite kutoroshwa chini ya ukuta ambao jeshi lenyewe limeujenga?! Hivi si juzi tu tumepigwa ambush huko Msumbiji? Usiwe na confidence sana na majeshi ya nchi za kifisadi ukute hata manunuzi ya silaha watu wanakula Hela tu!!Mimi sijui kwa nini nna imani kubwa sana na nchi yangu ya Tanzania. Naamini malalamiko ya wananchi huwa hayakosi kwenye nchi yoyote ile iwe Tajir au maskini. Lakini kwenye ishu ya usalama wa nchi, ni kitu ambacho hakuna nchi inalala usingizi.
Ukiangalia sana, katika ukanda wa Afrika mashariki, ni Tanzania tu ambayo haijigambi kabisa kuhusu jeshi lake, ipo kimya sana as if hakuna kinachoendelea kwenye majeshi yetu.
Sasa kwa ukimya huo, nchi nyingine zisichukulie poa sana. Tz ipo vizuri zaidi ya tuijuavyo.
Kama hotuba ya jamaa ilichomekwa kwa kiswahili, inaamana TZ pia ilikua ni target kwa sababu ingeishia kwenye English, basi tungejua anawalenga Kenya, Congo na Uganda na nchi nyingine zinazoweka English mbele.
Kiswahili ilikua kwa ajili yetu! Lakini hatujalala. Tangu 1978 tunatambua umuhimu wa kuimalisha usalama eneo lote la kaskazini Magharibi na Magharibi kwa ujumla.
Mtu ukijitoa kwenye jeshi la serikali wewe ni mhaini, mhaini ni wa kunyonga on the spot, sio kumrudisha tena ili aje kuvuruga. At the very least kama wanataka msamaha basi wajisamishe. Mida wao umekwisha, waache kulia lia, kazi imeanza ma haturudi nyuma!We naye hujui kitu.... M23 walikua wameingizwa jeshini kama tu kina Bosco Ntaganda ila baada ya baadhi ya makubaliano kutofanikishwa na serikali wakajitoa jeshini.
So sio mara ya kwanza kwa waasi DRC kuwa incorporated jeshi la DRC. Muwe mnasoma historia kabla ya kupotosha.
Hao walioitetea DRC dhidi ya Kagame na "Manguruwe" kutoiba Dhahabu ni Angola, Zimbabwe, Namibia etc.Tulitegemea awe sehemu ya kuwatetea wa Afrika wenzake dhidi ya hao nguruwe, na sio kutumika na manguruwe
Kwenye political solutions hakunaga hayo mambo ya Sheria. Odinga aliapa kuwa Rais alinyongwa kama Sheria inavyotaka?? Vipi Besigye alivyojiapisha kuwa Rais alinyongwa? Political solutions haziangalii Sheria inasemaje maana hapo ukimnyonga mmoja tu ndio umemwaga mafuta kwenye moto wa gesi!!!Mtu ukijitoa kwenye jeshi la serikali wewe ni mhaini, mhaini ni wa kunyonga on the spot, sio kumrudisha tena ili aje kuvuruga. At the very least kama wanataka msamaha basi wajisamishe. Mida wao umekwisha, waache kulia lia, kazi imeanza ma haturudi nyuma!
Watutsi waishio DRC ni WanyaRwanda?Raisi ni Raisi wa Wanyarwanda.