Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Watanzania wengi tumekuwa waimba pambio za watawala, unaimba sauti ya ngapi Mkuu?
Sio wengi ni wapuuzi, machawa, wachache wanaotetea matumbo yao. Ila wanapiga kelele sana.

Hawaongelei maji, umeme, ajali, ndege kuchukuliwa, Loliondo kuibiwa, mfumuko wa bei.
 
Hao walioitetea DRC dhidi ya Kagame na "Manguruwe" kutoiba Dhahabu ni Angola, Zimbabwe, Namibia etc.

Ila kama ulikua hufahamu Zimbabwe na Angola zilipora Mali nyingi vitani kuliko hata Rwanda au "Manguruwe" so ni Yale Yale tu.
Hao wote hawapaswi kuipora DRC, bali wailinde DRC dhidi ya uporaji wa Manguruwe
 
Kwenye political solutions hakunaga hayo mambo ya Sheria. Odinga aliapa kuwa Rais alinyongwa kama Sheria inavyotaka?? Vipi Besigye alivyojiapisha kuwa Rais alinyongwa? Political solutions haziangalii Sheria inasemaje maana hapo ukimnyonga mmoja tu ndio umemwaga mafuta kwenye moto wa gesi!!!
Ndio maana nikasema, at the very least wajisalimishe, DRC na Kenya wameshaanza kazi na inaendelea vizuri, watulie tu wanyooshwe!!!
 
Ulibonga sana alivomtishia Kikwete. Sasa zamu yenu

Tatizo nyie maneno mengi, enzi hizo nilikua nawaambia muache maneno mengi kusema sema kainchi kadogo, aidha ufanye kitu au uufyate, hivi unafahamu umafia wa rais Ruto, pamoja na kwamba simpendi na sikumpigia kura lakini nafahamu ni mafia ambaye Kagame hatathubutu ujinga mbele yake.
 
Magufuli (rip) aliyekuwa anatuhimiza kufanya kazi kwa bidii hayupo, sasa kwa nini tusishinde mitandaoni? Enzi za kuuza ngada na kujikusanyia mipesa na kushinda vijiweni zimerudi, wewe unataka tuwe bize na nini tena?
Alikuwa anawahimiza machawa wake huku wengine akiwaambia hatuleti misaada.Hivi unawezaje kutawala huku ukipendelea upande fulani?sijui aliwazaje huu ujinga!
 
Hali yake ni mbaya sana tangu Sir Ruto kuingia imekuwa pigo kwake alijaribu kumtumia mtoto wa museveni kuchonganisha ikabuma,ni kati ya marais wapumbavu EAC anayetumika na mabeberu bila kificho
Mabeberu ndio kina nani hao?
 
Tatizo nyie maneno mengi, enzi hizo nilikua nawaambia muache maneno mengi kusema sema kainchi kadogo, aidha ufanye kitu au uufyate, hivi unafahamu umafia wa rais Ruto, pamoja na kwamba simpendi na sikumpigia kura lakini nafahamu ni mafia ambaye Kagame hatathubutu ujinga mbele yake.
Eti maneno mengi. Maneno mengi ni mangapi. Kwani ni uongo sio ka nchi kadogo. Tufanye kitu gani wakati na yeye aliongea tu hakufanya kitu.
Unakuwaga na blah blah mob.
Aya amewatolea maneno kwa kiswahili kabisa. Do something
 
Ninachoipendea nchi yangu Tz hainaga kelele kelele .Ni kimya kimya.
Tukigongwa huko battle field tunapiga kimyaa tunajipanga upyaa. Tukitembeza kichapo pia huwa tunapiga kimyaaa..
Kwakifupi hatunaga MbaMbaMba!!!!.

Nyie akina zitto junior endeleeni tu kupiga mayowe ila sie tutafunza adabu tu
 
Eti maneno mengi. Maneno mengi ni mangapi. Kwani ni uongo sio ka nchi kadogo. Tufanye kitu gani wakati na yeye aliongea tu hakufanya kitu.
Unakuwaga na blah blah mob.
Aya amewatolea maneno kwa kiswahili kabisa. Do something

Mjifunze kuwa "big/top dog" kwenye ugomvi, mbwa mkubwa huwa hahangaiki kujibu ubwekaji wa kambwa kadogo, anapita taratibu akienda zake. Nyie watu milioni 60 mnapiga makelele kujibizana na kainchi ka watu milioni sijui moja.
Ilipaswa mtafute mbunge muongeaji wa hovyo tena wa jimbo la middle of nowhere Katavi huko ndio ajibizane na Kagame...sio rais.
 
Nimegundua humu ndani wanyarwanda ni wengi mnooo akina MALCOM LUMUMBA zitto junior imhotep and the likes halaf wengi wao ni CHADEMA wenzangu.
Ndio maana ccm wanatupiga pini daily wanajua fika hiz mbwa koko zikiingia tu whitehouse nchi ishauzwa
Sasa ukienda thread ya Russia vs Ukraine huko si ndio utasema JF imejaa warusi na wairan 🤣🤣🤣
 
Nimegundua humu ndani wanyarwanda ni wengi mnooo akina MALCOM LUMUMBA zitto junior imhotep and the likes halaf wengi wao ni CHADEMA wenzangu.
Ndio maana ccm wanatupiga pini daily wanajua fika hiz mbwa koko zikiingia tu whitehouse nchi ishauzwa
Mimi sio Mnyarwanda Asili ya.ngu Katesh.

Na Chadema nimeipenda mwenyewe well..let me be honest ni baada ya Sumaye kuhamia Chadema nikamfuata😁
 
Mjifunze kuwa "big/top dog" kwenye ugomvi, mbwa mkubwa huwa hahangaiki kujibu ubwekaji wa kambwa kadogo, anapita taratibu akienda zake. Nyie watu milioni 60 mnapiga makelele kujibizana na kainchi ka watu milioni sijui moja.
Ilipaswa mtafute mbunge muongeaji wa hovyo tena wa jimbo la middle of nowhere Katavi huko ndio ajibizane na Kagame...sio rais.
Wezi wa mifugo tu wamewanyoosha Kapedo ndio mtaweza real army? 🤣🤣🤣. Kenya hawezi kuwa military advisor kwa Tanzania!!! Kupita tu njia ya north rift roho Iko mkononi!!! Hapo sijaongelea kukatiza Mandera!!

Mna tatizo la usalama hapo Nairobi mpaka Gavana analia lia kwenye camera. Embu malizeni matatizo yenu kabla ya kushauri nchi stable kiusalama kama Tanzania.
 
Naendelea kukuelimisha kwamba migogoro ya baina ya nchi ni tofauti na malumbano ya ndani ya nchi, kawaida ndani ya nchi inakubidi uwe makini usiwaue watu wako, ila kule nje ni fulu makombora maana unambana na watu wasiokua na huruma kama hawa hapa Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho
 
Back
Top Bottom