Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

..soma hapa.

Mkuu JokaKuu ni mahakama ya kimataifa pekee ndio inayoweza kuhitimisha kuwa kulitokea genocide dhidi ya wahutu huko Drc, japo wanadai ushahidi wa kutosha upo ikiwemo simulizi za mashuhuda na manusura wa hayo matukio.

Ila matukio yaliyofanya Rwanda kuivamia Zaire ya mwaka 1996 zinafamika wazi...kuwa yale makambi ya wakimbizi wa Kihutu yalihifadhi pia wahalifu na wahusika wa genocide ya 1994 huko Rwanda na UN pamoja na mataifa makubwa hayakufanya lolote kuwaondoa wale wahalifu waliokuwa wamejichanganya na wakimbizi huku wakipanga tena uvamizi wa Rwanda.

Kiufupi matukio yaliyotokea enzi hizo huko Zaire kwenye makambi ya wahutu yalienda sambamba na Vita kati ya waasi wa Kabila dhidi ya serikali ya Mobutu, hivyo kulikuwa na Vita mbili zenye malengo tofauti.
zitto junior mtu chake Moronight walker Count Capone
 
Kundi la Wakongo wenye asili ya Kitutsi M23 liingizwe kwenye Jeshi la Kongo halafu Nchi jumuia za Afrika Mashariki tuli train Jeshi la DRC liwe kwenye Standard kama zetu ili visitokee vikundi vingine tena kutumia Ardhi ya Kongo kushambulia Majirani.
Kwahiyo umfanye Jambazi awe sehemu ya familia? Hayo yatakuwa matumizi mabovu ya akili
 
Mungu ampe maisha marefu na Afya njema Rais Paul Kagame ili aendelee kulinda Watu wake.

Maadui wamekuwa wengi wanatakiwa waonyeshwe cha Mtema kuni.
Siku zake zinahesabika, aache ujambazi anaofanya DRC, vinginevyo atasukumiwa kuzimu
 
Rwanda walikuwa na sababu ya kuivamia DRC, Interahamwe na Jeshi la zamani la Rwanda waliingia DRC, na Jeshi la Mobutu halikuwanyang'anya Silaha, kama sheria za Kimataifa zinavyotaka.

Walibaki na Silaha zao, chini ya uangalizi wa Jeshi la Mobutu, ambae alikuwa Mshirika mkubwa wa Serikali ya zamani ya Rwanda, na Mobutu alituma Majeshi kwenda kupigana bega kwa bega dhidi ya RPF.

Kagame akaona Kongo imetake sides kwenye hiyo conflict

Isitoshe Interahamwe wakaanza kuwaua Watutsi wa DRC huku Gavana wa Kivu akiwaunga mkono.

Kagame hakuingia DRC kwa hiyari yake alikuwa anajihami

Ila hilo swala la Hutu Genocide halina ushahidi na kama unao hebu uwdke hapa.
Kagame ni Rais wa Rwanda au ni Rais wa Watutsi au ni Rais wa WaHutu? Unajua ukijisahau sana utajikuta unakunya sebuleni
 
Ka-game anataka mambo yabaki kama yalivyo saivi ili aendelee kuvuna raslimali za DRC kama kawa..b
Mbona manguruwe wao wanavuna Ila hamuongei ama monkey mwenzako akikula unaumia. Yaani bana nyie ndio mkiwaga matajiri mnanufaisha watu wa nje huku ndugu zako wakiwa hawapati hata kumi yako. Mbona hao manguruwe ngozi wananufaika na wanaiba mno huko.
 
Kwahiyo umfanye Jambazi awe sehemu ya familia? Hayo yatakuwa matumizi mabovu ya akili
We naye hujui kitu.... M23 walikua wameingizwa jeshini kama tu kina Bosco Ntaganda ila baada ya baadhi ya makubaliano kutofanikishwa na serikali wakajitoa jeshini.

So sio mara ya kwanza kwa waasi DRC kuwa incorporated jeshi la DRC. Muwe mnasoma historia kabla ya kupotosha.
 
Mkuu JokaKuu ni mahakama ya kimataifa pekee ndio inayoweza kuhitimisha kuwa kulitokea genocide dhidi ya wahutu huko Drc, japo wanadai ushahidi wa kutosha upo ikiwemo simulizi za mashuhuda na manusura wa hayo matukio.

Ila matukio yaliyofanya Rwanda kuivamia Zaire ya mwaka 1996 zinafamika wazi...kuwa yale makambi ya wakimbizi wa Kihutu yalihifadhi pia wahalifu na wahusika wa genocide ya 1994 huko Rwanda na UN pamoja na mataifa makubwa hayakufanya lolote kuwaondoa wale wahalifu waliokuwa wamejichanganya na wakimbizi huku wakipanga tena uvamizi wa Rwanda.

Kiufupi matukio yaliyotokea enzi hizo huko Zaire kwenye makambi ya wahutu yalienda sambamba na Vita kati ya waasi wa Kabila dhidi ya serikali ya Mobutu, hivyo kulikuwa na Vita mbili zenye malengo tofauti.
zitto junior mtu chake Moronight walker Count Capone

..kwanza kulikuwa na genocide ya Wahutu ndani ya Drc.

..pili Rwanda ilipomsimika Kabila madarakani Mkuu wa majeshi ya Drc alikuwa Mnyarwanda Gen.Kabarebe.

..Je, Kabarebe hakusafisha magaidi waasi wa Kihutu wakati akiwa mkuu wa majeshi ya Drc.

..Tatu, Rwanda na Uganda walivamia Drc na kukalia eneo kubwa la nchi hiyo. Kwanini hawakushughulika na waasi wa Fdlr?

..Katika mazingira hayo sio sahihi kuanza kuwasumbua Wacongo kuhusu Fdlr. Rwanda na Uganda walikuwa na nafasi ya kuwafutilia mbali.
 
Mbona manguruwe wao wanavuna Ila hamuongei ama monkey mwenzako akikula unaumia. Yaani bana nyie ndio mkiwaga matajiri mnanufaisha watu wa nje huku ndugu zako wakiwa hawapati hata kumi yako. Mbona hao manguruwe ngozi wananufaika na wanaiba mno huko.
Tulitegemea awe sehemu ya kuwatetea wa Afrika wenzake dhidi ya hao nguruwe, na sio kutumika na manguruwe
 
Mimi sijui kwa nini nna imani kubwa sana na nchi yangu ya Tanzania. Naamini malalamiko ya wananchi huwa hayakosi kwenye nchi yoyote ile iwe Tajir au maskini. Lakini kwenye ishu ya usalama wa nchi, ni kitu ambacho hakuna nchi inalala usingizi.
Ukiangalia sana, katika ukanda wa Afrika mashariki, ni Tanzania tu ambayo haijigambi kabisa kuhusu jeshi lake, ipo kimya sana as if hakuna kinachoendelea kwenye majeshi yetu.
Sasa kwa ukimya huo, nchi nyingine zisichukulie poa sana. Tz ipo vizuri zaidi ya tuijuavyo.
Kama hotuba ya jamaa ilichomekwa kwa kiswahili, inaamana TZ pia ilikua ni target kwa sababu ingeishia kwenye English, basi tungejua anawalenga Kenya, Congo na Uganda na nchi nyingine zinazoweka English mbele.
Kiswahili ilikua kwa ajili yetu! Lakini hatujalala. Tangu 1978 tunatambua umuhimu wa kuimalisha usalama eneo lote la kaskazini Magharibi na Magharibi kwa ujumla.
Sasa imekuaje Tanzanite kutoroshwa chini ya ukuta ambao jeshi lenyewe limeujenga?! Hivi si juzi tu tumepigwa ambush huko Msumbiji? Usiwe na confidence sana na majeshi ya nchi za kifisadi ukute hata manunuzi ya silaha watu wanakula Hela tu!!

Ndio maana PK kasema vita dhidi yake Ina value for money..... Yaani inakuzamisha kiuchumi kwa Kila Senti unayowekeza kwenye uwanja wa vita. Haya madikteta huwa yanajihami vilivyo same to Museveni ila Kwa nchi za kidemokrasia huwa masuala ya ulinzi sio top priority so you can be shocked my friend.

CCM sijawahi kuiamini kwenye chochote, kama ndege tu inazama masaa 4 na JWTZ wanasubiri wavuvi waokoe watu ndio tutaweza kuhimili ambush za Kagame?
 
We naye hujui kitu.... M23 walikua wameingizwa jeshini kama tu kina Bosco Ntaganda ila baada ya baadhi ya makubaliano kutofanikishwa na serikali wakajitoa jeshini.

So sio mara ya kwanza kwa waasi DRC kuwa incorporated jeshi la DRC. Muwe mnasoma historia kabla ya kupotosha.
Mtu ukijitoa kwenye jeshi la serikali wewe ni mhaini, mhaini ni wa kunyonga on the spot, sio kumrudisha tena ili aje kuvuruga. At the very least kama wanataka msamaha basi wajisamishe. Mida wao umekwisha, waache kulia lia, kazi imeanza ma haturudi nyuma!
 
Tulitegemea awe sehemu ya kuwatetea wa Afrika wenzake dhidi ya hao nguruwe, na sio kutumika na manguruwe
Hao walioitetea DRC dhidi ya Kagame na "Manguruwe" kutoiba Dhahabu ni Angola, Zimbabwe, Namibia etc.

Ila kama ulikua hufahamu Zimbabwe na Angola zilipora Mali nyingi vitani kuliko hata Rwanda au "Manguruwe" so ni Yale Yale tu.
 
Mtu ukijitoa kwenye jeshi la serikali wewe ni mhaini, mhaini ni wa kunyonga on the spot, sio kumrudisha tena ili aje kuvuruga. At the very least kama wanataka msamaha basi wajisamishe. Mida wao umekwisha, waache kulia lia, kazi imeanza ma haturudi nyuma!
Kwenye political solutions hakunaga hayo mambo ya Sheria. Odinga aliapa kuwa Rais alinyongwa kama Sheria inavyotaka?? Vipi Besigye alivyojiapisha kuwa Rais alinyongwa? Political solutions haziangalii Sheria inasemaje maana hapo ukimnyonga mmoja tu ndio umemwaga mafuta kwenye moto wa gesi!!!
 
Back
Top Bottom