Paul Kagame ndiye Rais mwenye Intelejensia Kali kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki

Wana drones ngapi??, auto pilot planes ngapi? Army yao pmj na reserve ni kiasi gani? Wana missiles ngapi? Tuanzie hapo
 
Kwa akili zenu hizi ndio maana huko kwenu kuna vita visivyoisha..
Ogopa sana nchi ikishakuwa na wajinga wengi.
 
Hata Russia tuliambiwa haya haya lakini huu sijui mwaka wa ngapi anatolewa jasho na Ukrein. Naona week yote hii wanyaruanda mmejipanga kuleta vinyuzi vyenu vya kuwatisha watu wazima nyau,
Ukiona taifa lolote linajinasibu kuwa na nguvu kubwa ya kijeshi ujue kuna kitu hakiko sawa.
 
huyo kagame hana lolote,na nina kwambia,,kabla ya mwisho wa mwaka atakuwa keshapinduliwa
 
Rwanda itasumbua kwakua imekubali nchi yao kuwa uwanja wa kushusha silaha za waliotukoloni.
Pamoja na hilo, kama wakienda wanavyoenda tutawafunza adabu!
 
Huyo hata hutumii nguvu nyingi unatuma kikosi kazi kinamfata ikulu kinaondokanae anatokomea pasipo kufahamika kapotelea wapi!
 
Ukiingalia Rwanda nje ya Kagame utaona ni hype za Kagame ndio zinaipa nguvu Rwanda, na mara nyingi viongozi wanaokaa mda mrefu madarakani wanaishia kuzifanya nchi au taasisi kuwa dhaifu.

Kwa hiyo lugha ya PK haitabadilika kwasababu ndio inamfanya awe relevant akiwa maradani kwa sasa.
 
Rwanda itasumbua kwakua imekubali nchi yao kuwa uwanja wa kushusha silaha za waliotukoloni.
Pamoja na hilo, kama wakienda wanavyoenda tutawafunza adabu!
Njia ya kumkomesha ni ndogo!

Unatimua wakimbizi wao hapa na kuwaondoa kuwapeleka kwao angalia yowe watakalopiga.

Hii njia Kikwete aliitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…