Paul Kagame ndiye Rais mwenye Intelejensia Kali kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki

Kwann yeye asitujaribu sisi. Aje aichukue hata kagera tu, Ili tujue kua yeye ni mbabe.

Au kwanini anajificha juu ya Mgongo wa M23, Aje front aseme yeye ndo anawasupport M23 aone wanaume wanavo cheza nao kutoka Goma mpaka kigali
 
📌📌📌Dogo acha kusikiliza stori za vijiwe vya kahawa na Tangawizi.
 
Kama yeye mwanaume awaambie hao kunguni M23 wavuke border wajitangazie GEITA ni yao. Alafu waone moto utavyowaka.Kama amechoka kutawala hao watu wake ajaribuTz.
 
Wanakuja kutupigia PROPAGANDA Tz wakati sisi ndo tumewafunza kila kitu😀😀😀

Mtoto kaota ndevu analeta kibesi nyumbani.Huyu ni wa kufukuzia mbali akajitegemee inaonekana kamekuwa.
 
Imemchukua miaka 20 kuuchukua mkoa..kuwa serious bas wakuu...
 
Wana drones ngapi??, auto pilot planes ngapi? Army yao pmj na reserve ni kiasi gani? Wana missiles ngapi? Tuanzie hapo
Mkuu nadhani hata usingefika huko mbali kote, hata angekuwa navyo amevipata kwa kukwapua madini ya wakongo na kuwauwa haviwezi mfaa. Ananuka laana ya Damu nyingi zilizodhulumiwa.
 
Mwamba kweli kweli huyu jamaa
 
Halaf nmejifunza kitu, kwamba alivokuwa akipewa sifa jiwe, inavisifiwa ccm na inavosifiwa rwanda nkama perfect dudez ila wakirusuhu challenge kidogo tuu chaliii.
 
Najaribu ku imagine hivi, JK (Kikwete ) anausoma hu uzi huku kashikiria glass yake ya shampeni anatabasamu tu, halafu mama Salma anamuuliza, sweet vipi, nini kimekufurahusha? Jamaa kama kawaida yake, anacheka kwanza halafu anampa Salma simu ili nae ajisomee hu uzi, lakini pia kuna yule Mnyakyusa yupo zake Mbeya, bwana General Mwamnyange, katoka zake kukagua ng'ombe wake wa maziwa halafu binti yake mkubwa kampa uzi hu ajisomee; nahisi atakua katikisa kichwa na kumrudishia simu binti yake halafu anatamka maneno haya, "rubish"
Huyu PK si ndio walitakaga hadi kumtoa madarakani hawa 2 mwaka 2014? Leo eti anasifiwa namna hi? How?
 
Ndo ujie kama jf wamo ujue na kwingine wamo. Wakati tunaji mwambafy kuwa dk chache zinatosha kummaliza huku mitandaoni.. Wenyewe wamafanya kweli kujipenyeza kwenye mifumo.
Hakuna wanyarwanda wenye huo upambuvu au uwezo wa kupenya kirahis hivo, kinachifanyika na jamii ya kitusi ambayo imeheshimiwa kupewa uraia nchin lakin kwa ushamba wa kiafrika wanasaliti mataifa yaliyo au yanayo waheshim. Kwa kifupi wanadhihirisha kwamba wao wasio waaminifu kwa jamii zingind just simple.

Ila fikiria kama jamii zingne zikiwafanyia hivo hivo sjui watakuwa wagen wa nan.
 
Nini kifanyike
 
kagame ni overrated, hana uwezo huo anawaburuza nchi ambazo ni collapse state kama drc na Burundi
 
Hii nakubali
 
Unaongea usichokijua.

Kauli ya CDF uliielewa? Au wewe ni mjuaji kuliko CDF?
 

Unaacha kuiombea Rwanda 🇷🇼 halafu wewe sijui unaongea nini. Wee hujui kama nchi nzima ina muabudu au kumtegemea mtu mmoja ni maafa. Yaani Rwanda ukimtoa Kagame yaani hakuna nchi. Sasa hiyo ni hatari. Rwanda muamuzi wao ni muda tu. Kagame anavyozidi kuzeeka, ndivyo Rwanda nayo inavyozidi kuwa dhaifu. Hatari sana
 
Wanyarwanda mmejaa kwelikweli kila dakika ni nyuzi za kumsifu Kagame na Rwanda utadhani basi kinachosifiwa ni dubwasha kubwa kumbe vidude tu ambavyo watu wakiamua hata siku haiishi panakuwa historia
mitano tena samia
 
Unaongea usichokijua.

Kauli ya CDF uliielewa? Au wewe ni mjuaji kuliko CDF?
Nop, sina maana hiyo japokuw xote ni factorz zinazo pelekea utiliwaj mashaka ya uslama dhid ya uwepo wa wagen au watu wenye utii au asili ya nchi zingne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…