Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

Navihurumia sana vyombo vyetu vya ULINZI NA USALAMA kwa maana vinapitia wakati mgumu sana. Ni fedheha kubwa sana kwa haya yanayoendelea.
Ukiongeza na lile la jana, la Rais kutoa wazi habari ya mwaka 2019 ambayo ni biashara iliyokwisha kufa, mbele ya hadhira, eti Kenya nao wamekimbilia huko.
UONGO MKUBWA.. Unajiuliza hawa wasaidizi wake Rais wana aibu kweli?!
 
Comments reserved
 
Sasa wewe hilo mpaka ukutane na "miwani meusi"?


Kagame tayari ana bandari kavu huko na humu nilishaleta uzi wake, sisi tumezubaa.

Hivi unafikiri Kagame mjinga ajitie hasaa na njia ya mkato ipo hapa?


Kagame miaka mingi sana alitembelea bandari yetu, akasema mimi mkinipa hii tu, bajeti yote Tanzania ntaitowa hapa.

Hivi huwa mnakuwa usingizini?
 
The Tutsi, ni watu wa hatari mno kuliko tunavyowachukulia poa. Ninawajua ndani nje. Au waulizeni jamaa zetu kutoka mkoa wa Kigoma, hususani, wenye umri wa miaka 90+; "Inka na Amata yi Nka" na vijizawadi vidogo vidogo viliwaponza wakatawaliwa kwa kutumikishwa kinyama, kudhalilishwa, na kadhalika na The Tutsi. Na hii ndiyo "ngorane" (Timbwili) baina ya The Hutu vs The Tutsi huko Kigali na Bujumbura. Hawaji kukaa wakaelewana makabila yale. Never!
The Tutsi wana akili sana kutuzidi The Bantu. Wamezoezwa na kuwa na tabia ya kuwa na Programu za maendeleo za muda mrefu ( Long term Plans). Binafsi huwafananisha na The Europeans (white people). Ni watu wa hila sana. The Tutsi wana mirth waliaminishwa na ancestors wao, kwamba, Wao ni Bora, ni, wa uzao wa Mungu wa Mbinguni (walishuka kutoka mbinguni), na, Mungu (Imana) aliwaleta hapa duniani kutawala, aidha, rasilmali zote za dunia hii zipo chini ya umiliki wao. Ng'ombe (Inka) ni alama yao kubwa sana ya heshima na utajiri. The Tutsi hata mkiwa wawili mnatembea au kusafiri pamoja atajitahidi uwe chini yake.
Kwa hiyo hili la Kagame "Umushingantahe" sishangai. Kama Mama ameingia kwenye "anga" zake, tumekwisha. Wallah tumekwisha. Anyway, sakata hili la Port litaibua mambo mengi tu. Niishie hapa.
 
Pale unapokuwa umepotea njia, unapigiwa kelele urudi kwenye mstari halafu wewe ulivyo duwanzi unasema umeziba masikio.
 
Hii ni gender stereotype na ukosefu wa hekima na busara kwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Pia, ni very primitive nonsense. Dunia ya leo kuna viongozi wanawake wengi wana uwezo mkubwa tu kuliko baadhi ya wanaume.

Kuna wanawake wana akili na ndiyo wanaoongoza familia huku mitaani kuliko baadhi ya wanaume. Uwezo wa uongozi na msimamo thabiti hautokani huyu ni mwanaume au mwanamke bali nature ya mtu. Afrika imeporwa rasilimali zake miaka yote na kutajirisha Ulaya walioongoza tangu uhuru wa nchi za bara hili ni wanawake? Tuache maneno yasiyo na heshima kwa Rais wa nchi. Tutumie vizuri uhuru wa maoni.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Eheeheh, ngahwe! Tumechokoza. Ngoja nikimbie kujinusuru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…