Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Huo Waraka unawahusu employees wa kawaida na SIYO POLITICAL APPOINTEES jamani mbona mnataka kulazimisha mambo. Hebu nendeni mkausome sawasawa na kujua ukweli wa mambo yalivyo.
Siendi kusoma kokote kwani najua sheria ni 1 tu 'we don't play by the books'.

Kwa mfano lile sakata la CAG sheria zinasemaje na wao walimfanya nini?
 
Nyinyi ndio mnakosea, maana tangu jana Mnyeti kachukua hamjalalamika, leo kachukua Makonda mnalalamika, inaonyesha mna chuki binafsi na Makonda, au na nyie mna double standard?
 
Huyu anatakiwa kuwekewa pingamizi,utata wa jina,hachomoi!!
Huyo Jamaa hua ana wimbo wake anaupenda unaimbwa 'NINA BABA YANGU ASIYE SHINDWA KAMWEEEE,BWANA YULE NI BABA YANGU ASIYESHINDWA KAMWEEEEEEEE..'

Anajua dingi ake atamchomoa kwny hilo soo.
 
Kumbe ndo Mana alisisitiza wenye yard za magari wahamishie ofisi zao kigamboni..na viwanja viliuzwa huko..kwa Bei nafuu.
 
Sasa huyo wa Manyara ndiye mtoto kipenzi kuliko hata huyu wa dar na pia ni mtoto wa 'ndani' kabisaa wa familia ile kubwa.

Corridor zote huko serikalini wanajua hilo.
 
Dah hapa ndo jiwe hua anajichanganya. Mbona wengine wote walilazimika kujiuzulu nyadhifa nyingine ili wagombee ubunge huyu imekuaje? Naanza kushawishika kuna jambo la ziada nyuma ya uswahiba wa hawa watu wawili
Hawajiuzuru wameomba ruhusa wakagombee Rais aliyewateua akatengua uteuzi wao
 
Ni kawaida sana! Mbona hamjahoji kuhusu Rais, wazir mkuu, mawazir ambao bado in wabunge na wanangombea?
Juzi Polepole wkt anatangaza ratiba ya kuchukua form huko CCM amewatangazia wabunge ukomo wa ubunge wao ulikua jana.
 
CCM ina wenyewe, akina Gambo, Happy, Chalamila na wapiga kelele wengineo wajifunze kupitia hapo. Wakumbuke pia, Shetani hana rafiki.
 
Nyinyi ndio mnakosea, maana tangu jana Mnyeti kachukua hamjalalamika, leo kachukua Makonda mnalalamika, inaonyesha mna chuki binafsi na Makonda, au na nyie mna double standard?

Tunasubiri barua ya Msigwa ya ruhusa ,a Makonda,Mnyeti na Mkumbo otherwise huu ni upendeleo wa wazi ni uonevu kwa wengine.

Pale Dodoma Magufuli waliwauliza wakuu wa mikoa wanaotaka ruhusa awape,tena aliwauliza kwa mbwembwe sana.

Ngoja tuone double standard ya kwenye vyeti feki ikiendelezwa. Magufuli hana uadilifu wowote kama munavyomsfia na kumuabudu.
 
Ni kawaida sana! Mbona hamjahoji kuhusu Rais, wazir mkuu, mawazir ambao bado in wabunge na wanangombea?
Mawaziri madaraka yao yapo kikatiba, subiri tangazo kwenye gazeti la serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…