Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Duuh, ni wewe pekee umefanikiwa kupost hii kitu, hongera mkuu, utakua jiniaz balaa.
 
Umeandika upumbavu,hakuna ujinga kama huu.
NB:mawazo yangu binafsi.
 
Bashite aliingia kwenye cheo cha "MKUU WA MKOA" alikua choka mbaya hajui hata kuvaa nguo, ila katoka kwenye cheo akiwa tajiri hatari, ana magari binafsi makali kuliko hata rais (Ukiachia magari ya Ikulu).
 
USIJIDANGANYE...jiwe anajua kabisa usalama wa makonda nje ya mfumo ni mdogo kama ulivo kwa Mwananchi wa kijijin huko ndani ndani.

Usalama wa Bashite kwa aliyoyafanya kipindi chake chote kunamhitaji awepo mtu wa kumuhakikishia.

Hii inamaa, Ili mradi Jiwe yupo, Bashite ataeendelea kua kwa mfumooooo .... hata jiwe asipoongezewa muda, atakayefuata ni Bashite au mwingine lkn Bashiteataendelea kua kwa mfumo.
Kwa mtazamo wangu juu ya suala hili la Makonda Paul kuchukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la kigamboni ni kwamba yawezekana kabisa Mzee Mkulu alishapanga kutengua uteuzi wake mapema hivyo ili kumfichia hilo kwa mtoto mpendwa ni ikaonekana ni bora akachukue fomu katika jimbo ambalo Ndugulile ndye Gavana. Mwisho wa siku Makonda atakatwa na atapitishwa Ndugulile hivyo itaonekana Makonda alitenguliwa kwasababu ya kwenda kugombea na sio Makandokando yake.

AKILI KUBWA SANA HII
Simnaona Mwinyi kapelekwa Zanzibar ????? Mwinyi alikua wa 2025 TZ , sasa wametumia ujanja kumpeleka mwinyi huko, ili 2025 TZ awe ni Bashite au Jiwe kuendelea.
 
Makonda kajipeleka kwenye moto. Akishinda ubunge yatamkuta ya Kihiyo. Sasa itabidi atoe cheti chake cha form four.
 
Hiyo idea ya kumtoa kwenye mfumo bila kumchafua ni uongo. Katumbuliwa kwa sababu kachukua form,period
Hiyo sababu ni sababu inayoonekana na kila mwenye macho mawili, ila wenye jicho la tatu tumeshaona sababu iliyojificha
 
Makonda kajipeleka kwenye moto. Akishinda ubunge yatamkuta ya Kihiyo. Sasa itabidi atoe cheti chake cha form four.
Issue ya cheti ni simple coz anaweza kujaza sehemu hiyo ya Elimu kuwa anajua Kusoma na kuandika. Au Cheti cha darasa la 7.. coz ubunge sifa no.1 ni kujua kusoma na kuandika.
 
Kwa mtazamo wangu juu ya suala hili la Makonda Paul kuchukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la kigamboni ni kwamba yawezekana kabisa Mzee Mkulu alishapanga kutengua uteuzi wake mapema hivyo ili kumfichia hilo kwa mtoto mpendwa ni ikaonekana ni bora akachukue fomu katika jimbo ambalo Ndugulile ndye Gavana. Mwisho wa siku Makonda atakatwa na atapitishwa Ndugulile hivyo itaonekana Makonda alitenguliwa kwasababu ya kwenda kugombea na sio Makandokando yake.

AKILI KUBWA SANA HII
Ndugulile yupi achukue huyo aliyetaka watanzania wafe kwa korona kwa kumpinga raisi kuwa watu wasijifukizie? Huyo vita ya CORONA alipiga vita watu tusijipige nyungu wakati anajua kabisa hakuna dawa ya corona iliyopo.

Huyo hawezi pita hata jina lake litakatwa
 
Back
Top Bottom