Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Mataga bhana. Kila kitu mnataka kusifia tuDuuh, ni wewe pekee umefanikiwa kupost hii kitu, hongera mkuu, utakua jiniaz balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataga bhana. Kila kitu mnataka kusifia tuDuuh, ni wewe pekee umefanikiwa kupost hii kitu, hongera mkuu, utakua jiniaz balaa.
Kwa kupenda sifa,lazima ajaze elimu yake ya chuo kikuu Ushirika. Sasa hapo ndo patamu. Maana itabidi athibitishe alifikaje huko. Ila idea yako akiifuata basi ndo itakuwa pona yake.Issue ya cheti ni simple coz anaweza kujaza sehemu hiyo ya Elimu kuwa anajua Kusoma na kuandika. Au Cheti cha darasa la 7.. coz ubunge sifa no.1 ni kujua kusoma na kuandika.
Any thing is possible in politics. Asubiri uteuzi mwingine baada ya uchaguzi.Kwa mtazamo wangu juu ya suala hili la Makonda Paul kuchukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la kigamboni ni kwamba yawezekana kabisa Mzee Mkulu alishapanga kutengua uteuzi wake mapema hivyo ili kumfichia hilo kwa mtoto mpendwa ni ikaonekana ni bora akachukue fomu katika jimbo ambalo Ndugulile ndye Gavana.
Mwisho wa siku Makonda atakatwa na atapitishwa Ndugulile hivyo itaonekana Makonda alitenguliwa kwasababu ya kwenda kugombea na sio Makandokando yake.
AKILI KUBWA SANA HII
Makonda ana infinite qx50 ambayo ni Kali kuliko ile limo ya anko maguBashite aliingia kwenye cheo cha "MKUU WA MKOA" alikua choka mbaya hajui hata kuvaa nguo, ila katoka kwenye cheo akiwa tajiri hatari, ana magari binafsi makali kuliko hata rais (Ukiachia magari ya Ikulu).
Lakini ili uwe mbunge kipindi hiki huhitaji kuwa na cheti chochote. Ili mradi ujue kusona na kuandika kiswahili... INATOSHA SANAMakonda kajipeleka kwenye moto. Akishinda ubunge yatamkuta ya Kihiyo. Sasa itabidi atoe cheti chake cha form four.
Mbunge sharti awe na kkk 3Makonda kajipeleka kwenye moto. Akishinda ubunge yatamkuta ya Kihiyo. Sasa itabidi atoe cheti chake cha form four.
Bashite muhuni sana sidhan kama atashindwa ng'amua kitu kidogo hivyo.. pia mwenye vyeti vyake hali Gwajima now wako Chama moja anaweza kuzikana hizo nyaraka.Kwa kupenda sifa,lazima ajaze elimu yake ya chuo kikuu Ushirika. Sasa hapo ndo patamu. Maana itabidi athibitishe alifikaje huko. Ila idea yako akiifuata basi ndo itakuwa pona yake.
Kupinga hoja kwa matusi huwa ni Jambo la ajabu Sana linalokera watu wenye uelewa mpanaUmeandika upumbavu,hakuna ujinga kama huu.
NB:mawazo yangu binafsi.
Hiyo ni mipango ya Mungu.Makonda kajipeleka kwenye moto. Akishinda ubunge yatamkuta ya Kihiyo. Sasa itabidi atoe cheti chake cha form four.
Sawa ila ukijaza data za uongo,imekula kwako. Kwenye Elimu aache wazi. Na aandike anajua kusoma na kuandika basi.Mbunge sharti awe na kkk 3
Tatizo sio kukana. Atatakiwa awasilishe vyeti vyake. Hapo ndo itakuwa balaa atakapowasilisha cheti cha form four kisicho chake.Bashite muhuni sana sidhan kama atashindwa ng'amua kitu kidogo hivyo.. pia mwenye vyeti vyake hali Gwajima now wako Chama moja anaweza kuzikana hizo nyaraka.
Suala la cheti ni zito sana kutokana na Mkulu alivyo chukulia kwa wengine. Lakini uzuri wa Makonda katika kila cheti chake amekaa darasani na kufaulu. Kuna picha tunapewa kuwa hakuingia darasani, picha hii sio kweli.Issue ya cheti ni simple coz anaweza kujaza sehemu hiyo ya Elimu kuwa anajua Kusoma na kuandika. Au Cheti cha darasa la 7.. coz ubunge sifa no.1 ni kujua kusoma na kuandika.
Kwan amekwambia atajaza data za uongo? Hebu mwambie akutumie usafiri uende masaki kumsaidia kujaza form bi kigagula[emoji2][emoji2]Sawa ila ukijaza data za uongo,imekula kwako. Kwenye Elimu aache wazi. Na aandike anajua kusoma na kuandika basi.
Hapa manake akishinda mtu anaweza kumshtaki kwa kughushi. Au kuweka pingamizi atapoteuliwaLakini ili uwe mbunge kipindi hiki huhitaji kuwa na cheti chochote. Ili mradi ujue kusona na kuandika kiswahili... INATOSHA SANA
Yaani JF ukitaja Makonda na Kigamboni Posta inadakwa juu kwa JUU siju Makonda kato Kiasi gani.Binafsi ningepata Milioni 3 tu ningetia kambi pale Kigamboni ni hakikishe nachukua jimboDuuh, ni wewe pekee umefanikiwa kupost hii kitu, hongera mkuu, utakua jiniaz balaa.
Tatizo sio kukana. Atatakiwa awasilishe vyeti vyake. Hapo ndo itakuwa balaa atakapowasilisha cheti cha form four kisicho chake.
USHAURI WA BURE KWA WAGOMBEA UBUNGE-2020RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM.
Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile
Maana ndicho kilichomfanya aendelee na Elimu ya juu.Na kwanini apeleke cheti ambacho sio chake?
Unafikir yeye ni mjinga wa kiasi hicho.