Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Hatimaye mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa sana Paul Christian Makonda achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la kigamboni.
Angekuwa siyo Bashite, kitendo hiki cha kuchukua fomu ya ubunge maana yake na u RC bye bye saa hiyo hiyo.
lakini ni Bashite, atabaki kuwa Bashite.

Nawashangaa sana wanaojiita maaskofu na mashehe katika nchi hii ambao ni dhahiri kabisa wanaiona hii lopsidedness lakini wanaendelea kuwakumbatia hawa wanafiki madhabahuni mwao mchana kweupe.

Aliyesema "maaskofu waliopo Tanzania ni Bagonza, Shoo na Mwamakula.... wengine waliobaki ni wajasiriamali wa kidini" hakukosea hata kidogo!
 
Nisaidieni kuweka
Wekeni picha basi.
Paul%20C.%20Makonda%20%20Mthubutu%20Mwenye%20Ubunifu%20%20%20Jimbo%20la%20Kigamboni%20%202020...jpeg
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (@baba_keagan) leo amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kigamboni, ikiwa atapewa ridhaa na chama chake cha Mapinduzi (CCM).

#UchaguziMkuu2020
#CloudsDigitalUpdates
IMG_9216.jpg
 
Back
Top Bottom