luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Bila kujiuzulu Ukuu wa Mkoa?
Kwa hiyo ni Mkuu wa Mkoa pekee nchi nzima aliechukua fomu akiwa na madaraka yake yoote ya Ukuuu Wa Mkoa.
Na atapiga kampeni huku akiwa na Cheo Chake Cha Ukuu wa Mkoa kama Kawaida.
Kuna hatari Makonda akawa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Waziri kwa wati mmoja.
Hapana ! Yupo yule wa manyara pia somebody mnyeti sijui