Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Bila kujiuzulu Ukuu wa Mkoa?

Kwa hiyo ni Mkuu wa Mkoa pekee nchi nzima aliechukua fomu akiwa na madaraka yake yote ya Ukuu wa mkoa.

Na atapiga kampeni huku akiwa na Cheo Chake Cha Ukuu wa Mkoa kama Kawaida.

Kuna hatari Makonda akawa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Waziri kwa wati mmoja.

Chalamila, Ole Sabaya mnajisikiaje huko mliko.??
Tatizo ni nini mkuu alishasema anayetaka kugombea aombe ruhusa kwake yeye ameomba ruhusa sasa tatizo lipo wapi kama sio wivu wa kike nini
 
Mnajisumbua ! cdm na upinzani mweleka mtakaokula mwaka huu sio kidogo
Bado sijaona mgombea anaeweza akausumbua upinzani.ccm wote vilaza wanahanyahanya tu.

Kamuulize bashite kwanini amekimbia ubungo au waitara pale ukonga wanajua kitakacho wakuta ni aibu.✌✌✌✌✌✌✌
 
Nyie mbona hamuelewi? Kwani ni mkuu wa mkoa peke yake aliye kazini kuchukua fomu? Yule mwingine tangu jana amechukua, kwanini msiseme atumbuliwe?

Mkulu alisema mtumishi yoyote atakaegombea ubunge ni tafsiri kuwa haridhiki na cheo alichonacho na ni mtu mbinafsi na atamtumbua hapo hapo na huko atakapotangaza nia atambwaga na ona sasa leo kisu kimegonga mfupa kwakuwa huyu ndie mwanangu mpendwa ninaependezwa nae kwa kuongoza kikosi cha watu wasiojulikana na sasa niko njiapanda nimfanyeje mtoto wangu huyu mtukutu na sasa ameninyea mkono je niukate au sasa sijui iweje maana zoezi la vyeti feki liliishia hapo na mengine mengi na sasa amri yangu hii mpya nayo imeishia leo mtoto wangu keshaleta fungulia mbwa kabla muda sadakalawe amina mwenye kupata apate gombania goli, je huyu kwanini aachiwe wengine waadhibiwe! kweli ngozi nyeusi ni wajinga kichwani tu ila kuna wale wenye matumbo makubwa yaliyonona kwa mafuta yatokanayo na kodi za wanyonge!!

je inapendeza kuendelea na double standards na kuendelea kupoteza heshima yangu kwa wasomi na wazee wa chama ambao deep down in their hearts na wanaponong’ona huniona eti mimi mshamba japo nawanyoosha na wanalima kwa meno na wanaisoma namba nawashangaa wakinisengenya kwenye mazungumzo ya simu zao kuwa mimi ni mshamba naishi mjini ila kijiji hakijanitoka kichwani kama kina Maduhu na Maganga wakati mimi sitembei na redio kaseti kubwa mtaani nikipiga muziki inde monii kwa kelele kubwa? tuheshimiane ndugu zangu na kama ningeweza kuifungia mitandao ningeifunga kweri kweri!!

watu kukaa kimya haimaniishi hawaoni na hawasikii ujinga unaoendelea nchini ni vile tu FFU wanabonda sana!!

Hongera kwake DAB kwa kutangaza nia, kila shetani na mbuyu wake strike the iron while it is hot!! kata pua uunge wajihi Bashite this is your time your Godfather favours you!!
 
Mkurugenzi wa uchaguzi si yuko chini ya mkuu wa mkoa kimadaraka?
 
Kwa chama chetu pendwa ni 100%
Kuchukua form ni asilimia mia moja ticket ya mjengoni hata uwe Gwajima ukitumia mkanda wako wa ngono kujiuza huku ukishindana na wenzio themanini mliochukua form jimbo moja la Kawe? wakati mbunge wake akiwa kwa babu huko Sumbawanga?
 
Back
Top Bottom