Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Hiyo inaeleweka, wafuasi na makuwadi wa Idd Amin walikula mema sana pia! Ulaji wa wasio akili na waovu una mwisho mbaya sana!
Utaendelea kuota mwisho mbaya mpaka unaingia kabirini,!

Hao unaowafanansiha na kina Id amin wapo kikatiba siyo kihisia za ki Idd amin
 
Yani roho inaniuma.
Huyu baba akitangazwa Ubunge naweza kufa kabisa.
 
Huyu jamaa namtabiria kuwa ndiye atachukua nafasi ya Jaffo katika Wizara ya Tamisemi maana ndiye anaandaliwa kwa nafasi kubwa zaidi
 
Hongera sana Makonda ni haki yako kugombea hiyo nafasi na kumbuka Nov.tunapiga kura ya kubarisha katiba na kua na Rais asie na hukomo..This is good nasty move
 
H
Huyo mwingine nani,,,, kama ni Mwanri alishaachia ngazi... Huwezi ukawa kiongozi wa eneo hilo alafu unagombea eneo hilohilo. HAIWEZEKANI.
INAWEZEKANA, na huyo mwingine ni ALEXANDER MNYETI WA MANYARA, amechukua fomu tangu jana
 
Tunapongeza mh kuchkua fomu.kigamboni tulikwama sana.jembe aje aigeuze kigamboni kuwa dubai. vivutio vya utalii ni vingi mno.kuna nchi wanapata mapato kwa kutumia fukwe tu.sion kama kigambon na yenyewe ishindwe kuwa na GDP kubwa kama jimbo. Bravo Zulu Mh Makonda hii ni hatua safi sana
 
Kwa mujibu wa waraka wa utumishi unaohusu watumishi wa umma wanaotaka kugombea ubunge ni kuwa mtumishi atajiuzuru utumishi wa umma mara atakapoteuliwa na chama chake kugombea ubunge haya mengine yaliyotokea ni jinsi aliyewateua alivyoamka kumbuka hivi vyeo vya uteuzi kuendelea na vyeo hivyo inatengemea atakavyoona inafaa
 
Bila kujiuzulu Ukuu wa Mkoa?

Kwa hiyo ni Mkuu wa Mkoa pekee nchi nzima aliechukua fomu akiwa na madaraka yake yote ya Ukuu wa mkoa.

Mnaweza kuhisi amekuja kwenye kampeni kumbe yupo kwenye ziara ya kikazi, halafu mkaonyesa vidole vyenu vya Peopleeeeesss.

Na atapiga kampeni huku akiwa na Cheo Chake Cha Ukuu wa Mkoa kama Kawaida.

Halafu Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi yupo chini ya Mkuu wa Mkoa.

Kuna hatari Makonda akawa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Waziri kwa wati mmoja.

Chalamila, Ole Sabaya mnajisikiaje huko mliko.??

Jiwe huwa anakuwaga na double standard za wazi sana.
 
Na yule Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto aliyetumbuliwa hagombei!!?
Amechukua fomu tayari ila naona akili yake haipo sawa alikuwa anaongea havieleweki
 
Huyu jamaa namtabiria kuwa ndiye atachukua nafasi ya Jaffo katika Wizara ya Tamisemi maana ndiye anaandaliwa kwa nafasi kubwa zaidi
Na hapo ndipo atakapopatikana mkubwa ambae anavikwazo vya US na ndipo itakua ni Zimbabwe mpya.
 
Back
Top Bottom