Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

IMG_3066.JPG
 
angekuwa siyo Bashite, kitendo hiki cha kuchukua fomu ya ubunge maana yake na u RC bye bye saa hiyo hiyo.
lakini ni Bashite, atabaki kuwa Bashite.

nawashangaa sana wanaojiita maaskofu na mashehe wanaiona hii lopsidedness lakini wanawakumbatia hawa wanafiki madhabahuni mwao mchana kweupe.

aliyesema "maaskofu waliopo Tanzania ni Bagonza, Shoo na Mwamakula.... wengine waliobaki ni wajasiriamali wa kidini" hakukosea hata kidogo!
Kongole kwenu Wahaya, Wachaga na Wanyakyusa kwa kuzalisha watumishi wa Mungu wa ukweli.

Kwa hili mnathibitisha kuwa dominance yenu ya miaka mingi kwenye nyanja ya elimu inafanya kazi kweli.
 
Kwani ni mkuu wa mkoa peke yake kuchukua fomu? Mbona wengine hamuwasemi?
Angekuwa siyo Bashite, kitendo hiki cha kuchukua fomu ya ubunge maana yake na u RC bye bye saa hiyo hiyo.
lakini ni Bashite, atabaki kuwa Bashite.

Nawashangaa sana wanaojiita maaskofu na mashehe wanaiona hii lopsidedness lakini wanawakumbatia hawa wanafiki madhabahuni mwao mchana kweupe.

Aliyesema "maaskofu waliopo Tanzania ni Bagonza, Shoo na Mwamakula.... wengine waliobaki ni wajasiriamali wa kidini" hakukosea hata kidogo!
 
Back
Top Bottom