Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Utaendelea kuota mwisho mbaya mpaka unaingia kabirini,!

Hao unaowafanansiha na kina Id amin wapo kikatiba siyo kihisia za ki Idd amin
Idd Amin pia alikuwa kikatiba kama Jiwe tu! Umepumbwazwa na mahaba tu, Jiwe = Idd Amin
 
Huo waraka unawahusu watumishi wanyonge,watumishi dizaini ya Makonda,Mnyeti huo waraka kwao ni kama kijarida tu kama cha gazeti la Shigongo.
 
Hatua hii ni ya KUTIA NIA TU! Baada ya hapo wataingia kwenye KURA ZA MAONI ndani ya CCM, halafu mchakato utaenda hadi kwenye ngazi husika ya UTEUZI ndani ya CCM, kama akiteuliwa na CCM kugombea huko alikotilia NIA basi hapo ndipo atabidi ajiuzulu na kuachia madaraka na mamlaka aliyo nayo.

Na huu utaratibu ni kwa wote walioko ndani ya utumishi wa umma kupitia Serikali hii. Linawahusu wote siyo Makonda tu. Nadhani elimu imefika ili kuepusha upotoshaji wa kihafidhina wenye lengo la kupotosha wana Dar-es-Salaam!
 
Tatizo ni nini mkuu alishasema anayetaka kugombea aombe ruhusa kwake yeye ameomba ruhusa sasa tatizo lipo wapi kama sio wivu wa kike nini
Kulikuwa na matatu mkuu mbona msahaulifu sana wewe unaniboa , alisema aombe ruhusa na aachie ngazi kwa maana si mtu mwenye kuridhika , ni mbinafsi !!
mkuu nakusihi jitahidi kukaa mbali na wanao wasikuige tabia yako mbaya ya kusema habari nusu nusu huo ni utamaduni wa kishenzi wa wazee wetu! sisi tunataka kujenga jamii mpya inayosema ukweli tukiongozwa na Magufuli, akikutumbua anasema huyu nimemtumbua kwa uzinzi au ni mlevi!!
 
Sio kweli kaka.Tena kwa heshima kabisa usipotoshe umma.Kitendo tu Cha kuonesha kuwa unaenda kunihusisha na chama Fulani Cha siasa Ni kwamba kabla inatakiwa kuacha kazi,madaraka yako.Hii Ni kwa sababu mkuu wa mkoa anahudumia watu wa vyama Vyote.

Ndio maana katiba inakataza na kihistoria Hakuna mtu alienda kugombea chama fula Ni Kisha akashindwa akarudi palepale.sio kweli,Kama Ni hivyo hata mahakimu,mapolisi,majani,walimu,n.k wangekuwa wanaenda kuomba ridhaa, wakikataliwa wanarudi kwenye majukumu yao.Kama una ushahidi wa hayo uliyosema lete hapa.
 

Atapiga kampeni wapi, huyo atapitishwa bila kupingwa?
 
Halafu Wala hashitukagi...
urais ni jalala ni kazi ngumu na ina mambo mengi Mkulu hawezi kushtuka anapobugi na wasaidizi nao hawamshtui! anapobugi senior members wenzake wanaishia kumsengenya tu wakisema ‘jamaa hata hajui anasema huko mali mali, wakati ni Cameroon’!! wasaidizi wa mkulu wamekunja mikia yao wanaogopa ukimshtua leo umwambie mkuu umefeli kule na pale hujui kesho ataamkaje!! akiamka nawewe umeenda Meku, aika ruwa Yesu na Maria!!
 
Kanisa jipya la waumini mseto linazidi kukua. Kikubwa ni mapambio

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
urais ni jalala ni kazi ngumu na ina mambo mengi Mkulu hawezi kushtuka anapobugi na wasaidizi nao hawamshtui! wanaogopa ukimshtua leo hujui kesho ataamkaje!! akiamka nawewe umeenda Meku, aika ruwa Yesu na Maria!!
Nimekuelewa Mkuu.
 
Ndio maana wanachama ccm wanalalamika mwenyekiti anacheza rafu
 
Raha ya kuwa Mtoto wa mwenye nyumba,hauwezi kulinganisha na watoto wa majirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…