Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Bila kujiuzulu Ukuu wa Mkoa?

Kwa hiyo ni Mkuu wa Mkoa pekee nchi nzima aliechukua fomu akiwa na madaraka yake yote ya Ukuu wa mkoa.

Mnaweza kuhisi amekuja kwenye kampeni kumbe yupo kwenye ziara ya kikazi, halafu mkaonyesa vidole vyenu vya Peopleeeeesss.

Na atapiga kampeni huku akiwa na Cheo Chake Cha Ukuu wa Mkoa kama Kawaida.

Halafu Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi yupo chini ya Mkuu wa Mkoa.

Kuna hatari Makonda akawa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Waziri kwa wati mmoja.

Chalamila, Ole Sabaya mnajisikiaje huko mliko.??
Mumesharidhika walimwengu?
 
Wewe ndo mnafiki na mpumbavu. Askofu mwenye akili hawezi Fanana. Na Bagonza. He is prejudiced. Na hiyo ni criteria ya uzwazwa. Wenye akili hukaa kimya na huzungumza pale penye umuhimu. So wewe funga domo lako na heshimu binadamu wenye mawazo tofauti na wewe.
sawa mwelevu na mnyoofu, umesomeka.
safari njema peponi!
 
Hivi hawa watu wanalazimishwa wawe wabunge, au ni gheresha ya kuwatia watu ujinga ili wasihoji huko mbele ya safari?

Hivi kweli kwenye uchaguzi huru, mtu kama huyu naye ana mategemeo ya watu wenye akili kichwani wampigie kura awe kiongozi wao, tena Kigamboni, mjini kwenye wapiga kura wanaotegemewa kuwa na ufahamu mpana?

Siamini kwamba huyu na wengineo, kama yule binti 'ufito' anayewania Mbeya Mjini wanaamini kuwa wanaweza kupigiwa kura kwa hiari za wapiga kura wenyewe bila ya shurti.
 
Hv huyu hajui kuwa nje ya cheo cha mkiu wa mkoa hapendwi balaa, ataziona dharau za wananchi live....labda iwe mpango maalum
 
RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM.
View attachment 1507556
Mbona viona mbali tulishalitambua siku ile Jiwe alivyomtumbua Ndungulile bila sababu za msingi arafu Bashite kesho yake akaenda Kigamboni kutoa vifaa vya afya....Yule Naibu Waziri alitumbuliwa makusudi kusudi kumpoteza kusudi dogo apewe Jimbo...Kwa miaka minne niliyomfahamu Jiwe mambo mengi anayooongea hasa katika kutumbua viongozi yanakuwa hayana uhalisia...hata Gumbo aliomba Mwenyewe kujiuzuru wakamshauri asubiri watengeneze 'kick" kwa kumfukuza
 
Yule mwanasiasa ambaye mamlaka yake yalikuwa yanaishia mjini kati hayafiki mikoani , sasa ameenda kuomba ubunge ili apate cheo ambacho atakuwa ana mamlaka nchi yote.

Ndugu zangu wa mikoani kama nawaona vile mtakavyorushwa uchura, sisi wenzenu tumeshazoea mikikimikiki.

Kama mamlaka yake yalikuwa katika eneo dogo namna ile na akapigisha watu kwata mpaka wakazimia je haya ya nchi nzima itakuwaje..!!

Ushauri wangu ni kuwa watu mnywe maji mengi, kuanzia 2020-2025 ni mwendo mperampera, spidi ya 4G kama sio 5G...

Tanzania ya uchumi wa kati soon tunakuwa kama Malaysia...

Tutafurahi nawaambieni...
 
Hivi hawa watu wanalazimishwa wawe wabunge, au ni gheresha ya kuwatia watu ujinga ili wasihoji huko mbele ya safari?

Hivi kweli kwenye uchaguzi huru, mtu kama huyu naye ana mategemeo ya watu wenye akili kichwani wampigie kura awe kiongozi wao, tena Kigamboni, mjini kwenye wapiga kura wanaotegemewa kuwa na ufahamu mpana?

Siamini kwamba huyu na wengineo, kama yule binti 'ufito' anayewania Mbeya Mjini wanaamini kuwa wanaweza kupigiwa kura kwa hiari za wapiga kura wenyewe bila ya shurti.
Nakuahakikishia makonda anachukua jimbo asubuhi na mapema....

Sio kwamba watu wanampenda makonda ila, waru wanataka maendeleo ya jimbo... Kwa maana makonda ni mtu mwenye sifa, atataka jimbo lake liwe la maendeleo.. Ataleta huduma muhimu kwa wanannchi ili wamsifie...

Tunasema mchawi mpe mwanao amlee... Hii inaitwa..
WIN WIN SITUATION...
 
EEeenh, mambo mengine ni ya kuchekesha kama sio kuhudhunisha.

Kwenye mstari wa kwanza unaeleza "Nakuhakikishia...", halafu sababu za kuhakikisha unazotoa hazina nyuma wala mbele, matokeo yake bandiko zima linakosa maana.
 
Hayo ni maoni yangu.... Kama wewe ulivyotoq maoni yako
EEeenh, mambo mengine ni ya kuchekesha kama sio kuhudhunisha.

Kwenye mstari wa kwanza unaeleza "Nakuhakikishia...", halafu sababu za kuhakikisha unazotoa hazina nyuma wala mbele, matokeo yake bandiko zima linakosa maana.
 
Yule mwanasiasa ambaye mamlaka yake yalikuwa yanaishia mjini kati hayafiki mikoani , sasa ameenda kuomba ubunge ili apate cheo ambacho atakuwa ana mamlaka nchi yote.

Ndugu zangu wa mikoani kama nawaona vile mtakavyorushwa uchura, sisi wenzenu tumeshazoea mikikimikiki.

Kama mamlaka yake yalikuwa katika eneo dogo namna ile na akapigisha watu kwata mpaka wakazimia je haya ya nchi nzima itakuwaje..!!

Ushauri wangu ni kuwa watu mnywe maji mengi, kuanzia 2020-2025 ni mwendo mperampera, spidi ya 4G kama sio 5G...

Tanzania ya uchumi wa kati soon tunakuwa kama Malaysia...

Tutafurahi nawaambieni...
Hafai kuwa kiongozi na anapaswa kujibu kesi nyingi tu mwisho wa uongozi huu.
 
JPM huwa anamaanisha kile anachokisema na huwa hasahau. Ukikipuuza utalia na kusaga meno. Hawa jamaa naona hawamuelewi. Ngoja tuone watakachokipata.

Yes,nakumbuka kwa kesi ya kandoro lakini kandoro hajaenda kuomba ridhaa akiwa Kama mkuu wa mkua,nadhani ilikuwa Kama case ya mzee Mwanri,mfano Mwanri akikosa Tena anaweza pewa ukuu wa mkoa Tena.Lakini Sina uhakika maana Sina kifungu halisi Cha sheria lakini kwa nnavokumbuka nadhani haikubaliki
Yule mzee atapitishwa bila pingamizi mtaona
 
Back
Top Bottom