Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

Mpe credit Mange Kimambi si ndio umeiba huko content!
 
Salaah na mwenyewe muoga hadi anaenda polisi?. Mbona humu kuna nyuzi kibao salaah kuwa anawafanyia unyama vijana hapo kkoo.
 
Vijiweni kila mtu ni mjuaji,
story za huko si za kuziamini!!
 
Unamjua Salaah??
Unafikir kwanini Makonda mpaka leo anamuogopa GSM??
Si alimnyanganya ile Nyumba??
Na akashinda mahakamni??
Mbona ile nyumba makonda anayoidai haichukui??
Hawa Jamaa sio watu ni Viumbe vya ajabu vyenye umbo la binadamu na Wana mitandao mizito mnoo huyu Mwenezi ni bonge la Mshamba tu bora atumikie Chama sio kujiingiza kwenye mabifu na Hawa Jamaa. Yule Kaka Yao aliyemwagiwa tindikali ? Pamoja na kuugua kwa muda mrefu alipokuja kupona lakini wale walio lifanya lile tukio wote walikufa.
 
Ni jamaa hatari sana hawa
 
Ni jamaa hatari sana hawa
Mkuu ninachoandika sio Cha kusoma mitandaoni ila ni wale watu ambao wamefanya kazi tena nyumbani kwa Boss kaka aisee Hawa Jamaa ni Creatures Hawa, tena Jamaa yangu alidhurumiwa Dola 600 akatafuta Mganga amroge Boss Kaka yule Jamaa ni Mwamba sana akamwambia Hawa sio viumbe wa kawaida labda mpaka niende Congo Milimani Nika unlock pattern zao na bado Hawa huwezi kuwafanya chochote, yule Mganga CV yake sio ya kitoto alimwambia Jamaa hivyo. Na huyo Jamaa alililetwa na Mbunge Fulani kipindi kile Cha mambo ya ESCROW. Huyu muenezi anajipoteza Mwenyewe tu na ndugu zake na uzao wake
 
Mkuu nawajua Vizuri hiyo familia..
Ndo maana Nimemuuliza Jamaa unawajua Vizuri hao watu Offcamera au Offsocial au anawasikia na kuwaona na sura ya upole mbele za watu anahisi wana roho nzuri ni makatili sana..
 
Mkuu nawajua Vizuri hiyo familia..
Ndo maana Nimemuuliza Jamaa unawajua Vizuri hao watu Offcamera au Offsocial au anawasikia na kuwaona na sura ya upole mbele za watu anahisi wana roho nzuri ni makatili sana..
Wale sio watu Mkuu, Mwenezi wanamchukulia timing tu na Wana roho mbaya mnoo. Kama Boss kaka hata kuongea hana time kabisa muda wote kimya na amefeki sura kma mtakatifu fulani 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…