Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

Kuna mmoja wao nilimtizama sana kwenye picha yake nijue ni nani,

Usiku alikuwa anazuka Kutokea makaburini, Kwa kuwa sikuwa nimedhamiria Kupambana naye,

Nikaachana naye.
 
Kuna mmoja wao nilimtizama sana kwenye picha yake nijue ni nani,

Usiku alikuwa anazuka Kutokea makaburini, Kwa kuwa sikuwa nimedhamiria Kupambana naye,

Nikaachana naye.
Achana nao hao ni majini yale
 
Ningekuwepo kwenye tukio ningechukua video nakumuuzia Mange dada wa taifa. Yani mibongo bana mivivu sana fursa ya kupiga hela imewatokea kama zali yako yako tu na mi smart phone yao. Kazi kupiga miselfie na kuformat kuedit na kupost kutafuta likes na sifa za kijinga.
 
Mkuu ukichunguza mada yako hii kutokana na maelezo, mbona kama imeegemea upande!

Watu wana drive, wengine wapo na mabaiskeli wakijibishana shobo, wewe una sikio la shetani kuweza kusikiliza kinagaubaga majibishano hayo hatua kwa hatua?

Ulikuwa unatumia usafiri gani kukurahisishia umbeya wako?
 
Sawa chawa. Tumekusoma.
 
Sijui jinsia yako mkuu ila
Natamani isije ikawa wewe ni mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…