residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kuumiza watu sio ubabe,ni ukatili.wote wababe hapo kila mmoja keshaumiza watu huko nyuma.
Hao wote ni makatili, watu wa hovyo wasiostahili kuwepo kwenye jamii ya waliostaarabika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuumiza watu sio ubabe,ni ukatili.wote wababe hapo kila mmoja keshaumiza watu huko nyuma.
Kuna mmoja wao nilimtizama sana kwenye picha yake nijue ni nani,Mkuu ninachoandika sio Cha kusoma mitandaoni ila ni wale watu ambao wamefanya kazi tena nyumbani kwa Boss kaka aisee Hawa Jamaa ni Creatures Hawa, tena Jamaa yangu alidhurumiwa Dola 600 akatafuta Mganga amroge Boss Kaka yule Jamaa ni Mwamba sana akamwambia Hawa sio viumbe wa kawaida labda mpaka niende Congo Milimani Nika unlock pattern zao na bado Hawa huwezi kuwafanya chochote, yule Mganga CV yake sio ya kitoto alimwambia Jamaa hivyo. Na huyo Jamaa alililetwa na Mbunge Fulani kipindi kile Cha mambo ya ESCROW. Huyu muenezi anajipoteza Mwenyewe tu na ndugu zake na uzao wake
Achana nao hao ni majini yaleKuna mmoja wao nilimtizama sana kwenye picha yake nijue ni nani,
Usiku alikuwa anazuka Kutokea makaburini, Kwa kuwa sikuwa nimedhamiria Kupambana naye,
Nikaachana naye.
rudisha picha ya pep akila mpepeWakati hayo yakiendelea ndugu muandishi ulikuwa upande upi, au wewe ndiye mchoma mishikaki?
Mkuu Lucas kumbe hupo? Ni muda sana jamvin. Nimefurahi kusoma mchango wako. Karibu.Sijui kama ni kweli ila muogope sana mtu mwenye msambwanda wote ule yani Tz nzima bara na visiwani yeye pekee ndio ana jeuri ya kumiliki mswambwanda .muogope
we basha 🤣Sijui kama ni kweli ila muogope sana mtu mwenye msambwanda wote ule yani Tz nzima bara na visiwani yeye pekee ndio ana jeuri ya kumiliki mswambwanda .muogope
Ningekuwepo kwenye tukio ningechukua video nakumuuzia Mange dada wa taifa. Yani mibongo bana mivivu sana fursa ya kupiga hela imewatokea kama zali yako yako tu na mi smart phone yao. Kazi kupiga miselfie na kuformat kuedit na kupost kutafuta likes na sifa za kijinga.Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.
Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga. Sasa ni hivi aliesimamia zoezi zima la Bashite kuachia nyumba aliyowapora ni mdogo wake GSM Salaah . By the way nyumba anayoililia Bashite sio nyumba ya kitoto, nyumba ina lifti ndani.
Sasa ni hivi last week huyu Salaah alikuwa anafanya hayo mazoezi ya baskeli huko Masaki barabarani, na Bashite nae akawa anafanya mazoezi ya mguu yani kama ana powerwalk huku ndinga kubwa ya CCM inamfata nyuma.
Sasa out of nowhere gari iliyokuwa inamfata Bashite nyuma ikataka kumgonga Salaah,Salaah kama akakwepa na baiskeli yake then aka shout like wewe hunioni? Mbona huangalii watu barabarani? Basi dereva hakujibu akaenda mbele kama kuongea na Bashite then gari likarudi spidi likamblock Salaah kwa mbele, dereva akashuka akaanza kumchimba biti mdogo wake GSM sasa, wewe unamjua mwenye hii gari?! Unajua mimi namwendesha nani? Salaah akajibu kama unataka kunifanya lolote we fanya Ila mimi nimekwambia tu angalia barabarani. Basi dereva akachimba biti zaidi pale then akaondoka.
Sasa kuna kisehemu wanaendaga kula mishkaki baada ya mazoezi huyo Salaah baada ya kupata huo msala akaenda kula hapo mishkaki, hajakaa dakika mbili Bashite huyo kaingia hapo Kwenye hiko kisehemu, straight moja kwa moja kamfata Salaah, We dogo wewe, jiangalie sana unavyoishi mjini. Unanijua mimi nani? Mi naweza kukufanya chochote na huna chankunifanya. Mimi naweza kukupoteza muda wowote. Aisee mbele za watu Bashite anatoa vitisho.
Yule Salaah akapandisha mashetani ya kiarabu, weee akaruka kama swala hapo alipokuwa amekaa akamwambia Bashite, usinitishie maisha kama unataka kuniua niue, ila kukuogopa tena kama kipindi kile sifanyi tena, wewe amua unachotaka. Weeeee, Bashite nae akajifanya anapadisha wakataka kushikana mashati ndo watu kuwaamua.
Yule Salaah kafungua kesi polisi ya kutishiwa kuuawa ila polisi kimya maana mshtakiwa ni Bashte, wanaanzaje kum detain mwenezi wa CCM?
Nipo Mkuu. Nilitoka kidogo jf sasa nimerudi. Asante sanaMkuu Lucas kumbe hupo? Ni muda sana jamvin. Nimefurahi kusoma mchango wako. Karibu.
Chef deitat maamaee
wana mashetani makaliUnamjua Salaah??
Unafikir kwanini Makonda mpaka leo anamuogopa GSM??
Si alimnyanganya ile Nyumba??
Na akashinda mahakamni??
Mbona ile nyumba makonda anayoidai haichukui??
Leta za kweliAcheni Ramli na kutunga vihabari vya uzushi na uongo tu hapa.
Mkuu ukichunguza mada yako hii kutokana na maelezo, mbona kama imeegemea upande!Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.
Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga. Sasa ni hivi aliesimamia zoezi zima la Bashite kuachia nyumba aliyowapora ni mdogo wake GSM Salaah . By the way nyumba anayoililia Bashite sio nyumba ya kitoto, nyumba ina lifti ndani.
Sasa ni hivi last week huyu Salaah alikuwa anafanya hayo mazoezi ya baskeli huko Masaki barabarani, na Bashite nae akawa anafanya mazoezi ya mguu yani kama ana powerwalk huku ndinga kubwa ya CCM inamfata nyuma.
Sasa out of nowhere gari iliyokuwa inamfata Bashite nyuma ikataka kumgonga Salaah,Salaah kama akakwepa na baiskeli yake then aka shout like wewe hunioni? Mbona huangalii watu barabarani? Basi dereva hakujibu akaenda mbele kama kuongea na Bashite then gari likarudi spidi likamblock Salaah kwa mbele, dereva akashuka akaanza kumchimba biti mdogo wake GSM sasa, wewe unamjua mwenye hii gari?! Unajua mimi namwendesha nani? Salaah akajibu kama unataka kunifanya lolote we fanya Ila mimi nimekwambia tu angalia barabarani. Basi dereva akachimba biti zaidi pale then akaondoka.
Sasa kuna kisehemu wanaendaga kula mishkaki baada ya mazoezi huyo Salaah baada ya kupata huo msala akaenda kula hapo mishkaki, hajakaa dakika mbili Bashite huyo kaingia hapo Kwenye hiko kisehemu, straight moja kwa moja kamfata Salaah, We dogo wewe, jiangalie sana unavyoishi mjini. Unanijua mimi nani? Mi naweza kukufanya chochote na huna chankunifanya. Mimi naweza kukupoteza muda wowote. Aisee mbele za watu Bashite anatoa vitisho.
Yule Salaah akapandisha mashetani ya kiarabu, weee akaruka kama swala hapo alipokuwa amekaa akamwambia Bashite, usinitishie maisha kama unataka kuniua niue, ila kukuogopa tena kama kipindi kile sifanyi tena, wewe amua unachotaka. Weeeee, Bashite nae akajifanya anapadisha wakataka kushikana mashati ndo watu kuwaamua.
Yule Salaah kafungua kesi polisi ya kutishiwa kuuawa ila polisi kimya maana mshtakiwa ni Bashte, wanaanzaje kum detain mwenezi wa CCM?
Sawa chawa. Tumekusoma.Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.

Sijui jinsia yako mkuu ilaHaya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.

Mashaallah Alhamdulilah, yah Rahman.Dr. SSH,
Kijana wako haleti taswira nzuri kwa chama na Jamii,
Ikiwezekana mwondoshe katika posti hiyo!
-Anatutonesha madonda hivoo!
-Wasalaam.
Jamaa sound sana, ilivyovurugana kuhusu nyumba tuliona video halafu huku tunaletewa maneno matupu, video hadi za chumbani za kina gigy money zipo sembuse ya hii iliyotokea hadharani! NEHIKwa hiyo vurumai lote hilo hata video hamna?
Sio TZ nayoijua mimi
Inatafutwa justification ya maamuzi ionekane ni Mama kumbe siye!!Kwa hiyo vurumai lote hilo hata video hamna?
Sio TZ nayoijua mimi