Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

KAZI, SALA, IBADA NA MAOMBI KWA MUNGU ndio mpango mzima wa kufanikiwa kwa yeyote..

well done RC Makonda, well done Prophet Mwamposa.God bless you all Aimen 🙏
 
Lakini kweli watu wengi kwenye maswala ya imani ni weupe sana! Hivyi kweli ùnafanyiwa maombi na mwamposa alafu unasimama unawakemea manabii wengine! Mwamposa unamjua kwamba ni miongoni mwa manabii waoñgo wanaotumia jina la Yesu ndivyo sivyo???
 
Nimeandika nimefuta nimeandika nikafuta tena nikaandika nikafuta nikafuta tena nikaandika nikafuta

Hawa jamaa wanacheza na akili za watu
Unasemaje wanacheza na akili za watu wakati unaona miujiza ambayo Mtume wa Mungu amekuwa akifanya maeneo mbalimbali huku watu wakiinuka na kuangaza.
 
Lakini kweli watu wengi kwenye maswala ya imani ni weupe sana! Hivyi kweli ùnafanyiwa maombi na mwamposa alafu unasimama unawakemea manabii wengine! Mwamposa unamjua kwamba ni miongoni mwa manabii waoñgo wanaotumia jina la Yesu ndivyo sivyo???
Boniface Mwamposa anahubiri neno la Mungu na siyo kupiga Ramli.
 
Tapeli la kiroho aka Mwamposa. Nasema uongo ndugu zangu?
Sahihi kabisa. Hapo kuna mjasiriamali tapeli wa mafuta, sabuni, maji, leso, udongo, maneno ya uongo, nk. Anamfanyia maombi mtu aliyefoji cheti na pia mwizi na dhulumati wa mali za watu.

Imagine kipofu anamuongoza kipofu mwenzake!!!
 
Boniface Mwamposa anahubiri neno la Mungu na siyo kupiga Ramli.
Watu wamepatwa na imani sio wamepata imani, Yesufu mwenyewe alipomzibua yule bubu kiziwi alimtoa kwenye mkutano akampeleka faragha akampaka mate kwenye ulimi na kumpakaa kwenye masikio akaongea na kusema na kusikia, akamwambia usimwambie mtu jambo hili

Soma 1 Wakorintho 1:25 umsikie anachokuambia Mtume Paulo

25' Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

Anachofanya bwana mwoposa ni maigizo ya imani ambayo hata wewe unaweza kuigiza Yesufu ukiwa msalabani umepigiliwa misumari ila igizo likiisha unakua wewe tu
 
Embu na wewe nenda kaponye watu kama ni rahisi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…