Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Matapeli na walaghai hawahitajiki katika Dini.Tunahitaji watu wanaolihubiri neno la Mungu na uwe umeitwa kweli na Mungu kufanya kazi yako.na siyo kufanya janja janja tuSihitaji hotuba nzima, nitafsirie hicho kipande alikua anamaanisha nini huyu mheshimiwa
Sio Kaunda 1?Mzushi tu...tp mazembee tu
Ova
Siyo lazima anifanyie dhuluma mimi! Ila kama ameua na kujeruhi watu kupitia cheo chake! Amedhulumu mali za watu wengine mfano magari ya kifahari, pesa taslimu, viwanja, nk. kupitia cheo chake! Tayari anakuwa moja kwa moja kwenye kundi la wauaji, matapeli na dhulumati.Alikufanyia dhuluma gani.
Soma biblia wavivu wavivu wa imani ndio wanaenda huko biblia hawasomi wewe nenda kakague mkutanoni pale wangapi wamebeba biblia hakunaEmbu na wewe nenda kaponye watu kama ni rahisi .
Pole sana ndugu! Pole sanaMatapeli na walaghai hawahitajiki katika Dini.Tunahitaji watu wanaolihubiri neno la Mungu na uwe umeitwa kweli na Mungu kufanya kazi yako.na siyo kufanya janja janja tu
Ila mboya yeye hajagaragara au maombi badoyanaendekea?Ombeni nanyi mtapewa
cc: Dr Albert Chakamila & Kasesera
Yani kila siku yeye anataka aombewe.Kuna shida si bure.Hivi kuna Mchungaji, Askofu au Sheikh HAJAMUOMBEA huyo Makonda? Tatizo lake nini hasa, mpaka aombewe mara kwa mara?
MIzimu ya watu inamuangaisha.Hivi kuna Mchungaji, Askofu au Sheikh HAJAMUOMBEA huyo Makonda? Tatizo lake nini hasa, mpaka aombewe mara kwa mara?
Weka ushahidi wakoSiyo lazima anifanyie dhuluma mimi! Ila kama ameua na kujeruhi watu kupitia cheo chake! Amedhulumu mali za watu wengine mfano magari ya kifahari, pesa taslimu, viwanja, nk. kupitia cheo chake! Tayari anakuwa moja kwa moja kwenye kundi la wauaji, matapeli na dhulumati.
Naona umeandika uzushi mtupu.Huyo anayewauzia watu udongo eti Toka Israel bila kodi?
Huyo aliyenunua masemi yakusambaza maji ya upako yauzwayo bilakodi?
Huyo anayeuza mafuta yakula tukopo tudogo buku bilakodi?
Huyo anayeuza vipeperushi kanisani bilakodi?
Huyo anayejenga mahoteli ya kifahari kwao mbeya?
Huyo aliyeacha mke nasasa anaishi na mwanamke mdogomdogo bila kutuambia kama ni mkewe wandoa?
Huyo anayechukuwa viongozi wa kanisa nduguze huko mbeya???
Fungueni macho mumwabudu Mungu kwa hekima na maarifa... 🙏🏾
Kama unaona wivu kwa yeye kuombewa nasi nenda na wewe ukaombewe.Yani kila siku yeye anataka aombewe.Kuna shida si bure.
Ungekuwa unaishi mjini, usingeomba ushahidi zaidi ya huo nilio uweka hapo juu. Bahati mbaya unaishi Mbozi ndani ndani huko.Weka ushahidi wako
Niombeweombewe nimekuwa kilema wa akili?Wewe mwenye ulemavu na udumavu wa akili na Bashite ndiyo mnatakiwa mfanyiwe maombi na viboko mtandikwe.Kama unaona wivu kwa yeye kuombewa nasi nenda na wewe ukaombewe.
Members wanaombeana.Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze.
Ambapo Mwamba huyo na jabali La siasa hapa Nchini na ambaye amekuwa Kipenzi cha watanzania na ambaye Nyota yake imeendelea kuwaka Muda wote ,ametoa tahadhari na kuwatahadharisha Watanzania kujiepusha kabisa na watu wanaotumia Neno la Mungu na mavazi ya viongozi wa Dini katika kuwarubuni wananchi na kujipatia ukwasi na utajiri.
Amesema wapo watu wanajiita viongozi wa Dini wanaukwasi mkubwa kupitia Dini,ambapo ukichunguza vizuri unaona hawahubiri na kumhubiri Yesu kristo,bali wanafanya kulitumia tu jina na neno la Mungu kujitajirisha na hawa utawajuwa kwa matendo yao.
Mwamba Mwenyewe Paul Makonda Ambaye siku zote amekuwa akimtumainia Mungu na kuwaheshimu sana viongozi wa Dini zote na wa Madhehebu yote, Amemmiminia sifa na pongezi Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa Kuwa ni Mtumishi wa Mungu wa kweli na ambaye amekuwa akilihubiri neno la Mungu wakati wote Mwanzo mpaka mwisho wa mahubiri yake.
Na kwamba watu wote ni mashuhuda wa kazi njema na nzuri inayofanywa na Mtume huyo kwa watu . Mwamba Mwenyewe Paul Makonda anaendelea kujinyenyekeza na kujiweka mikononi Mwa Mungu Mwenyewe kiimani ,kwa kutambua kuwa huyo ndiye Mlinzi wake na ambaye anaendelea kumlinda ,kumtetea na kumpigania dhidi ya maadui zake wenye chuki binafsi na wivu tuView attachment 3101707
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ukiwa lichawa huwezi ona wala kuelewa...hata machawa ya pafidada saivi ndipo yanashtuka kuwa yalibakwa yenyewe yalijua yanastarehe!!!Naona umeandika uzushi mtupu.
Endelea na roho yako ya kishetaniNiombeweombewe nimekuwa kilema wa akili?Wewe mwenye ulemavu na udumavu wa akili na Bashite ndiyo mnatakiwa mfanyiwe maombi na viboko mtandikwe.
Muhimu sana kwake ni kuwatafuta aliowakwaza na kuwaomba msamaha ili toba yake ipokelewe vema na Mwenyezi Mungu. Kuomba peke yako bila kuwaona uliowakwaza haina majibu kamili. Binadamu mwezako ni Mungu wa pili hivyo ukimkwaza ukamuomba msamaha na akakusamehe hata mbinguni umesamehewa.Ndugu zangu Watanzania,